Gharama za kuweka terrazo vs paving block

dimple

Senior Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
106
Reaction score
143
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naomba kwa anaejua gharama za kuweka terrazo nje badala ya paving block natamani sana sakafu ya terrazo ila naona mafundi sio wengi sana kwa anaejua naomba msaada wa 1.kujua gharama zake
2.terrazo na paving block kipi ni bora zaidi
3.uimara wake uko vipi kwa mazingira ya nje(uwani)
Natanguliza shukran zangu
 
Dah terazo enzi zile mshua wangu anajenga kabla ya mfumuko wa tiles ndo ziliwekwa sebuleni tu,na roof ya mbao mninga matata(gypsum tupa kule) halafu nje ni chuping sio haya ma 'all weather'.....mafundi nadhani wamepungua sana
 
Pavements ni bora, flexible hata ukitaka kubadilisha, haziweki crack n.k.
 
Kwa mahitaji ya pavement, ushauri, fundi wa uhakika karibu in box .
 
Terrazo ni habari nyingine, ilakwa siku hizi sijui ila kwa kipindi cha nyuma ni mafisadi tu ndio walikuwa na uwezo wa kuiweka kwani ule mtambo wake tu fundi kuukodi ni gharama sana!! Ila na uhakika hadi sasa bado ipo juu kulinganisha na hizo pavement block
 
Na maanisha nje chini badala ya paving block nilikuwa nawaza kuweka hii terrazo
Dah terazo enzi zile mshua wangu anajenga kabla ya mfumuko wa tiles ndo ziliwekwa sebuleni tu,na roof ya mbao mninga matata(gypsum tupa kule) halafu nje ni chuping sio haya ma 'all weather'.....mafundi nadhani wamepungua sana
 
Terrazo is more expensive. Terrazo is more durable kama kuna movement kubwa ya watu na inadumu kwa mda mrefu sana compared to paving blocks. Paving blocks are less cheaper but more austethic pleasing.
 
Ok,thanx zamani kidogo niliwahi kuona mafundi wanaweka mbele ya maduka flani kariakoo ila ndo nilikuwa sijajua if one day nitaweza hitaji hiyo huduma,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…