babuusnake
Member
- Apr 5, 2014
- 13
- 2
Natakujua mtu akinitengezea web profession ukisema na gharama za hosting pembeni
Kila mtengenezaji ana gharama zake kutegemea na ukubwa au aina ya website unayotaka. Gharama huanzia laki moja mpaka zaidi ya Million kumi.Natakujua mtu akinitengezea web profession ukisema na gharama za hosting pembeni
Kila mtengenezaji ana gharama zake kutegemea na ukubwa au aina ya website unayotaka. Gharama huanzia laki moja mpaka zaidi ya Million kumi.
Kila mtengenezaji ana gharama zake kutegemea na ukubwa au aina ya website unayotaka. Gharama huanzia laki moja mpaka zaidi ya Million kumi.
Natakujua mtu akinitengezea web profession ukisema na gharama za hosting pembeni
Millioni kumi pia sio realisti unless iwe ni "full web app" na sio "just a website"
Mkuu kasema professional website so hapo uongo mbaya bei inaanza 1.8m kuendelea hosting included
Ila inategemeana na website ni ya nini website za religious institutions huwa ni cheap
Ndio maana amesema web apps, hizo ebay, facebook etc sio websites, ni web applicationsKama unaongelea Tanzania sawa,
Zipo project za Dynamic Website (System) ambazo ni zaidi ya Milioni kumi. Kwa akili za kawaidi project za Ebay, Facebook, Yahoo, n.k ni Shs. ngapi?
+100 to you 🙂Ndio maana amesema web apps, hizo ebay, facebook etc sio websites, ni web applications