Ni kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzaniaWadau tumejipanga kazini kwetu vijana 10 tukapande Mlima Kilimanjaro kama njia ya kupongeza juhudi za Taasisi ya Mo Ibrahim kuwa na weledi wa kutokupendelea yeyote katika utoaji tuzo bila kujali Uswahiba.
NB: je tozo ni kiasi gani kwa wazawa?
Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu routeNi kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzania
Ni kiasi cha kusema mpo wangapi ndio mmpewe bei
Bei hulingana na idadi ya Watu .
Semeni je mpo wangapi niwape bei_?
Asanteni
Si utaje gharama za mtu mmojaNi kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzania
Ni kiasi cha kusema mpo wangapi ndio mmpewe bei
Bei hulingana na idadi ya Watu .
Semeni je mpo wangapi niwape bei_?
Asanteni
unajidai kujua lakini mwisho wa siku umesahau kuweka bei.Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu route
Siku 6 Marangu route,
Siku 6 Machame route ,
Siku 8Lemosho route
Marangu route mnalala kwenye nyumba na vitanda vimo.
Machame route mnalala kwenye Tents .
Haya sema ni njia IPI ?Mnataka?
Mkuu unakua kama mgeni JF, huku hatunyimani habari, tueleze utaratibu ulivyo na gharama kwa kila utaratibu ni ipi?Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu route
Siku 6 Marangu route,
Siku 6 Machame route ,
Siku 8Lemosho route
Marangu route mnalala kwenye nyumba na vitanda vimo.
Machame route mnalala kwenye Tents .
Haya sema ni njia IPI ?Mnataka?
Habari wana jf,
Jamani wana jf naomba mnijuze gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa mtanzania ni kiasi gani , na kama kuna addition yoyote naomba kujua.
Niko mbioni kuchukua likizo sasa naona katika likizo angalau nifanye jambo hili lakupanda mlima Kilimanjaro, kwani nimekuwa nikitamani siku nyingi.
Gharama ni rahisi ila ishu ni gharama za magaidi, mapota(wagumu)Bei ni elfu 20kwa mtanzania mmoja sawa .
ILA INAPUNGUA NA KUONGEZEKA KWA VIGEZO FLANI KAMA MNATAKA MNIONE
Bei ni elfu 20kwa mtanzania mmoja sawa .
ILA INAPUNGUA NA KUONGEZEKA KWA VIGEZO FLANI KAMA MNATAKA MNIONE