Asalaam. Tafadhali sana napenda kujua bei ya containers. Nataka kununua kadhaa. Haijalishi ni la ukubwa gani but nahitaji kujua naweza kuyapata wapi kwa bei poa. Shukran.
Jamaa wa shipping Line 40fit wanaweza kuuzia kwa $2500 ,ukimpata mtu wa kawaida anaweza kuuzia kwa makubaliano yenu tu.....
Zingatia tu ukiuziwa kontena lazima upewe n'a document yake kama gari vile