Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Mie nahitaji page ya fbUnataka kutengenezewa page yenye watu wengi ama? Tangaza dau
ina like ngapi mkuu na bei yake lakin ishu nyingine inakuja kwenye kubadili jina hawakubaliMi nauza page
Fungua page ,,kisha watakuambia promote ur page ,, hapo ndipo utachagua utumie kiasi gan nauwafikie watu wangapi ,,, mfano dollar 2 kwasiku utwafikia watu 800-3000 ivi kwaiyo niwewe naela zako ,, the more the money the more the watu utakaowafikia !!.
Ninayo ina followers 15,000Mie nahitaji page ya fb
Sio lazimaKumbe huwa zinalipiwa
Nataka yenye likes kuanzia 150kNinayo ina followers 15,000
Karibu kama utahitaji.
shi ngp mkuuNinayo ina followers 15,000
Karibu kama utahitaji.
Imeuzwa tayarishi ngp mkuu
uliuza bei gan?Imeuzwa tayari