Hahah aisee wala sio uongo.Wajomba wenye hummer hapa mjini wanatisha.Kibongo bongo bado hatujafikia level za kusema eti ile gari sijui mbaya,eti inachafua mazingira mara inakunywa mafuta sana.Ni umasikini tu unasumbua watu la sivyo wengi tu wangependa walimiliki.
Lile gari akiwa anaendesha mwanamke hata confidence ya wanaume kumshobokea shobokea hua inaisha.Ni hela tu inazingua,ningemnunulia mke wangu hilo dude najua hakuna wa kumsogelea tangu anaondoka asubuhi mpk anarudi jioni home.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Wanasaikolojia wanasema watu wanaopenda kufanya vitu fulani huwa wana vi project kwa wengine.Sawa mtoto mzuri nenda kanyonyeshwe koni kwenye vitz basi ufurahi.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
English nyiiiingi hovyo hovyo tu.Nenda kalambishwe koni acha tujadili mambo tunayotaka hapa.Wanasaikolojia wanasema watu wanaopenda kufanya vitu fulani huwa wana vi project kwa wengine.
Get off my dilsnick.
Sent from my Kimulimuli
Wanasaikolojia wanasema watu wanaopenda kufanya vitu fulani huwa wana vi project kwa wengine.English nyiiiingi hovyo hovyo tu.Nenda kalambishwe koni acha tujadili mambo tunayotaka hapa.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Yes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.Kuna jamaa analo Hapo Arusha,hua akijaa nalo bar hakuna mtu anakumbuka eti lina sura mbaya sijui nini kila mtu analikubali mbaya kabisaa.
Akilipark next to vitz na vigari vingine vya wajapan,hao wamiliki wa hivyo vigari hua wanaona noma kwenda kuvitoa parking muda wa kusepa wanahisi kama wanachoreka hatari.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Hahah asee hapo kwenye kutoa viti naenda hizo baby walkers kuweza kuingia umeua mkuu hahah.umeongea fact. hvi mwanaume anayeendesha vitz, carina,verossa au altezza anaanzaje kumtongoza mwanamke anayeendesha hummer? anaanzaje? wakati hizo gari nyingine kama ukitoa viti kwnye hummer unaweza kuziingiza ukafunga na mlango? mnunulie tu shem. mimi nlikuwa na mpango huo nikizikamata siku moja namnunulia lile dude tena manual. halafu jamaa hawa wa auto na vi baby walker vyao wawe wanampigia misele. tuone...
Hawa wengine wana matatizo ya ulimbukeni tu.
Ahahah aisee ukimaanisha sisi wazee wa kijapani ni wa magari ya kufanana tunatofautishwa na plate numbers tu,hahah.Ni mwendo wa IST bar nzimaYes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.
Yes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.
Hio ni hummer ngapi mkuu?Nakushauri usitafute ugonjwa wa moyo! Kule posta lipo moja jamaa kashusha bei mpaka 45M lakini linakimbiwa....
Posta masaki kwenda ma kurudi liter 20 linamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???Hawa wengine wana matatizo ya ulimbukeni tu.
Wengine bado wanavaa Fubu.
Kwa hiyo wakishobokea Hummer hata usishangae sana.
Sent from my Kimulimuli
Ni wachache, lakini ndio maisha, wote hatuwezi kuwa sawa. wenye generic cars msijisikie/tusijisikie vibaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???
Maana asilimia 99%ni magari ya kizamani yapo road.
Tatizo si gari la kisasa au si la kisasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???
Maana asilimia 99%ni magari ya kizamani yapo road.
Na hakuna wakukupa.
kwan interest yko ni kujua bei ya hlo gar au kulinunua?Hizi gari zilikuwa zamani ukiskia Hammer unatoka nje kuitazama.... Hammar inakula mafuta, kama huna shell nyumban kwako ongeza ununue Prado Cruser