Gharama Ya silver

king_kunta

Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
21
Reaction score
9
Habari wana jamii forum, nilikua naomba msaada wa kujua ni duka gani naweza uza silver kwa bei nzuriii kwa dar. Na gram bei ganii.
 
Mimi nanunua ila uwe Nazo kuanzia gram 100 na kuendelea
Kila gram moja 1500
 
Ukiona kimya may be wananunua gold si unajua jf watu wake ni matajiri sana...
Mie ningekuwa najua ningekuelekeza tatizo mie shopping yangu ni kwa wamachinga iwe fake silver au gold napata na bei haizidi elfu mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…