Mtafute huyu 0716322345mkuu samahani.. nilikuwa nataka kujua hayo maji baridi ni maji yasio na chumvi? Mimi niko Dar maeneo ya tabata na ninahitaji kuchimba maji ila juz juz hapa nimefatilia nikaambiwa million tatu na nusu hivi kuanzia survey mpaka uwekaji wa pump..
sasa nilikuwa nakuomba unisaidie mawasiliano ya hao vijana.
asante
Asante MkuuMtafute huyu 0716322345
Masikini_Jeuri ulifanikiwa kuchimba kisima Dodoma na ulitumia kiasi gani kama ulichimba.well kwa ujumla naona uchimbaji wa dar ndo umezungumziwa hapa..................kuna yeyote mwenye taarifa za mikoani hususan Dodoma?
Sasa kazi tu=Hapa kazi tu japo ilikuwa 2012...Kisima ulichimba na dau la kiasi gani...Sasa nimekua najiandaa toka mwaka jana,ndo mda wa kufanya kazi.
Nashukuru kurudi hapa na kukuta mambo mengi yame wekwa wazi.
Sasa kazi tu.
haha,kumbe wali niibia kauli mbiu yangu.Sasa kazi tu=Hapa kazi tu japo ilikuwa 2012...Kisima ulichimba na dau la kiasi gani...
Masikini_Jeuri ulifanikiwa kuchimba kisima Dodoma na ulitumia kiasi gani kama ulichimba.
haha,kumbe wali niibia kauli mbiu yangu.
Nilichimba mkuu,sasa viko viwili,vyote gharama ilikua 4.5m
Bro,4.5m ni gharama ya kisima kimoja.4.5m ni gharama nzuri jwa visima viwili, lakini je visima vyote vina urefu kiasi gani kwenda chini na gharama hii inajumuisha pamoja na kuvijengea na kuvifunika?