Soft board/flash door.
Nashukuru unaelewa unachokitaka, ungezingatia post yangu yenye vipengele 7 hapo juu plus baraza 100% utapata estimates sahihi mkuu
Nikusaidie mkuu, ungeeleza;
1.kiasi cha rooms+ukubwa wake
2.dirisha ngapi na ukubwa wake
3.milango mingapi
4.jiko?..ukubwa wake
5. Dining?.ukubwa wake
6. Lounge?. Ukubwa wake
7.vyoo 2.ukubwa wake?