aspen JF-Expert Member Jul 13, 2011 501 165 Jul 26, 2011 #1 Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga
Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga
N Nzowa Godat JF-Expert Member Jun 15, 2011 2,783 819 Jul 26, 2011 #2 aspen said: Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga Click to expand... Ungefafanua taa ngapi na aina gani, jokofu na jiko watt ngapi, Tv aina gani LCD au CRT, ndipo mahesabu yanaweza kuwa calculated.
aspen said: Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga Click to expand... Ungefafanua taa ngapi na aina gani, jokofu na jiko watt ngapi, Tv aina gani LCD au CRT, ndipo mahesabu yanaweza kuwa calculated.