Ungefafanua taa ngapi na aina gani, jokofu na jiko watt ngapi, Tv aina gani LCD au CRT, ndipo mahesabu yanaweza kuwa calculated.Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga