MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 182
Hongera kwa Ghana kwa kututoa kimasomaso Afrika sio kila siku tuwe tunatamani makombe tu! Hilo la vijana linaashiria kuwa kuna future ya football kwenye bara hili. Hivi wale wadogo zetu waliochukua kale kakombe Brazil kwenye michuano midogo waliishia wapi?