Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Nonda, tukianza namna hii mwishoe tutapindisha mada. Kwa kifupi simuoni kiongozi yeyote "mwanamapinduzi" kwa viongozi wa kiafrika waliopo hivi sasa madarakani.Mkuu Katika orodha ya African revolutionaries uliyonayo ni nani na nani yumo humo?
Ok, hushabikii...unapendelea tu aondoke au aondoshwe! by who? Sifikirii kuwa unajali hili..bora apotezwe tu!
Nimeipenda hii style yako mpya ya kuzichukulia habari za CCN, BBC, Reuters kwa tahadhari kubwa. Mwanzoni ulikuwa wa mwanzo kuzileta JF na baadae ilipotokea kuwa ni uzushi ilikuweka katika hali tata na baadhi ya members walikurushia madongo. Hata mimi sikuwezakufahamu kwa nini ulishabikia kuanguka kwa "udikteta" wa Gaddafi huku ukijua lengo la US-NATO sio demokrasia wala kulinda raia bali kuitawala Afrika kwa mara nyengine na Libya chini ya uongozi wa gaddafi ilisamama kama kikwazo kufikiwa kwa lengo hilo.
Duhu!!..Kweli mateso yakizidi basi wokovu unakaribia
Ushindwe na ulegee, kama wanavyosemaga kwenye maombi ya kumfukuza shetani!jamaa sasa kaanza kuelewa!, taratibu taratibu tu tutafika!. sasa nadhani na yeye ameanza kuelewa kwamba zile ndege za Ghadafi kuwashambulia waandamanaji ilikuwa propaganda tu.
Ahsante!! Mie ninaelewa kinachoendelea Libya, that is why nikasema sijakuelewa unachokisema.. Ukweli siku zote hujitenga na uongo.. Ulikua shabiki wa BBC,CNN,Aljazeera sana, ila naona kwa sasa umeanza kuchuja habari maana umegundua kuwa jamaa wanapiga propaganda..
Vita vya Libya ndo vimeanza sasa, na vitapiganwa mpaka nato watakaposhindwa.. Tuna mengi ya kuhoji na kujiuliza juu ya Protection of SIRTE civilians!! Wao inaonesha roho zao hazina thamani.. Kwa stahili hii, hata wale walibya waliokua wanamchukia Ghaddafi kutokana na taarifa za kwenye media, sasa wameanza kuamka.. Na vita vitapiganwa sana.. Tutasikia final attacks za TNC mara kibao sana.. Benghazi hapakaliki sa iv, Misrata, Tripoli, Zlintan..
Hata rebels wenyewe kwa wenyewe wanagundua kuwa hawakuwa na common motive dhidi ya Ghaddafi, wengi wamegawanyika na hawataki kupokea orders kutoka kwa wale wanaojiita ni viongozi wa kidemokrasia (Jalil & Jibril), ingawa hawajawahi kuchaguliwa na waLibya.. Wameanza kuuana, Wengine wamejiuzulu nk.. NATO itatumia technology zote za kielecroniki ku jam network na kutoa taarifa za kujipendelea wao na watatangaza final attacks mpaka Final attack ya walibya itakapofika..
Ukweli utajulikana tu wote wataaibika!! Mungu awabariki wananchi wa Libya, na abarikiwe ndugu Col. Ghaddafi..
Kwanza asante kwa kuniita kijana. Pili nakuambia acha kujifanya wewe ni mwanamapinduzi eti kwa sababu tu unaogopa kupingana na/kuchambua utawala wa Gaddafi. You are what I call a sofa/armchair revolutionary: Good at pretence while in reality you do not even know how to handle a gun and have never been to the battlefront!...yaani uongo wa Rebels na NATO (RATO) umezidi kipimo mpaka wameamsha vijana wetu akina A.K...
PROPAGANDA OF THE WEST
Tujiulize na tufanye maamuzi tutakubali kurubuniwa mpaka lini? Mara ngapi watamuuwa mtu mmoja huyo huyo? Muulize anaeishi Libya hivi leo, kama kweli wanawakubali NTC. African Union na serkali za Africa na wa Africa kwa ujumla tukae tukijuwa kuwa Gadhafi na serkali yake wame tolewa sio na NTC bali na Nchi ambazo hazipo Africa Lakini wanatamani rasilimali za Africa
MkuuKwanza asante kwa kuniita kijana. Pili nakuambia acha kujifanya wewe ni mwanamapinduzi eti kwa sababu tu unaogopa kupingana na/kuchambua utawala wa Gaddafi. You are what I call a sofa revolutionary.
BTW, why are Gaddafi loyalists in this forum too jittery?Mkuu
u"kijana" aka ujana wako pengine unatokana na mazoezi ya yoga!
Pili napendekeza hii heshima ya "uanamapinduzi" iwe reserved kwa wewe tu. Uitwe "Mwanamapinduzi wa kweli AK" kwa sababu inaonekana wengine wote huafiki kuwa ni wanamapinduzi. Hata pale unapoombwa utoe orodha yako ya wanamapinduzi unaowakubali, unaifanya ni siri.
Vipi bado hakuna confirmation ya kukamatwa kwa Mutassim? Au imethibitika kuwa ni porojo na propaganda ya kawaida ya US-NATO na rebels wao..psy ops! ili kuficha mauaji wanayoyafanya huko Sirte na Bani Walid?
BTW, why are Gaddafi loyalists in this forum too jittery?
Safi sana!What about the other group? Are they different? or erratic?
Turudi kwenye mada..acha hizi, mkuu.