Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help
Kama Mkiwa Wachumba tu unaona Tabu Kumfulia Mwenzako Chupi je Mkishaoana halafu Mwenzako akaumwa utaweza Kumchambisha Kweli wewe?
fua tu mwayego kama unaona kinyaa ziloweke kwanza,,,nahisi wewe unaona kinyaa hata kunyonyana na mambo mengine kama hayo....:embarrassed:
hivyo mkuu kumbe ni kawaida kwa mwanaume kufua chupi ya mwanamke? thanks ila mmmhhh i have to try to convince my mind, kaaahhh
Kawaida sana Mkuu, wewe unasema Kufua watu huwa tunavaa Chupi chafu za Wake zetu na wakati mwingine huwa Tunazivaa Kichwani wakati wa Kulala
Kukubali kuombwa ombwa ipo siku utaweza ombwa visivyoombeka! Sijui utakubali?
kweli mkuu that was my tough stand tangia tuanze malavida hajawahi kuniomba hili, sasa nashangaa , i swear sijawahi kufua chupi yake, my mind
tells me nooooooooooooooooooooooooo still thanks Rev
Shauri yako maana akitokea Mtu Mwingine halafu akamfulia ndio imekula kwako kaka
hapo ni kufua tu na ukitaka kuondokana na hicho kinyaa uwe unavaa kabisa na hizo chupi zake ili siku ya kufua uone kama zako
hapo ni kufua tu na ukitaka kuondokana na hicho kinyaa uwe unavaa kabisa na hizo chupi zake ili siku ya kufua uone kama zako
kuvaa kwa kutest au kuvaa na kuondoka nayo? eeeeehhhh what? i usually kidding akiwepo with her underwear basi.