GF anataka NIMFULIE CHUPI yake, mmmmhhhh.....!!!!!!!!

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena she put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

Kama Mkiwa Wachumba tu unaona Tabu Kumfulia Mwenzako Chupi je Mkishaoana halafu Mwenzako akaumwa utaweza Kumchambisha Kweli wewe?
 
fua tu mwayego kama unaona kinyaa ziloweke kwanza,,,nahisi wewe unaona kinyaa hata kunyonyana na mambo mengine kama hayo....:embarrassed:
 
Kama Mkiwa Wachumba tu unaona Tabu Kumfulia Mwenzako Chupi je Mkishaoana halafu Mwenzako akaumwa utaweza Kumchambisha Kweli wewe?

hivyo mkuu kumbe ni kawaida kwa mwanaume kufua chupi ya mwanamke? thanks ila mmmhhh i have to try to convince my mind, kaaahhh
 
nyanzala wangu unasikia mambo haya??hahaaa watuache mke wangu tuishi miaka elfu 8
 
fua tu mwayego kama unaona kinyaa ziloweke kwanza,,,nahisi wewe unaona kinyaa hata kunyonyana na mambo mengine kama hayo....:embarrassed:

Roselyne mm mtaalam sana on bed, my GF hadi nalegea hadi morning maana napata muhogo 7.6inches trust me, na ana booty hilo mweupe, na sioni kinyaa kwa kila kitu kwake on bed, ila la kufua chupi bana like madharau kidogo hivi, mmmmhhh still not convinced ngoja wakina Preta, Rose1980 waseme thanks
 
hivyo mkuu kumbe ni kawaida kwa mwanaume kufua chupi ya mwanamke? thanks ila mmmhhh i have to try to convince my mind, kaaahhh

Kawaida sana Mkuu, wewe unasema Kufua watu huwa tunavaa Chupi chafu za Wake zetu na wakati mwingine huwa Tunazivaa Kichwani wakati wa Kulala
 
Kukubali kuombwa ombwa ipo siku utaweza ombwa visivyoombeka! Sijui utakubali?
 
Kawaida sana Mkuu, wewe unasema Kufua watu huwa tunavaa Chupi chafu za Wake zetu na wakati mwingine huwa Tunazivaa Kichwani wakati wa Kulala

weweeeeeeeeeee nimecheka hadi karibu nianguke , haya mapenzi kweli utundu mwingi sana, nakwambia kaaaaaaaahhhhh
 
Kukubali kuombwa ombwa ipo siku utaweza ombwa visivyoombeka! Sijui utakubali?

kweli mkuu that was my tough stand tangia tuanze malavida hajawahi kuniomba hili, sasa nashangaa , i swear sijawahi kufua chupi yake, my mind
tells me nooooooooooooooooooooooooo still thanks Rev
 
hapo ni kufua tu na ukitaka kuondokana na hicho kinyaa uwe unavaa kabisa na hizo chupi zake ili siku ya kufua uone kama zako
 
kweli mkuu that was my tough stand tangia tuanze malavida hajawahi kuniomba hili, sasa nashangaa , i swear sijawahi kufua chupi yake, my mind
tells me nooooooooooooooooooooooooo still thanks Rev

Shauri yako maana akitokea Mtu Mwingine halafu akamfulia ndio imekula kwako kaka
 
Shauri yako maana akitokea Mtu Mwingine halafu akamfulia ndio imekula kwako kaka

Albedo ngoja nianze mazoezi ya kujaribu kufua labda kesho, woow...!!!!! yamenifika ila kuvaa kwa kutest na kumfurahisha sioni mbaya.tena huwa namtania makalio yako makubwa chupi yako kubwa bwana anafurahi, maana huwa namiliki kote bana
 
hapo ni kufua tu na ukitaka kuondokana na hicho kinyaa uwe unavaa kabisa na hizo chupi zake ili siku ya kufua uone kama zako

kuvaa kwa kutest au kuvaa na kuondoka nayo? eeeeehhhh what? i usually kidding akiwepo with her underwear basi.
 
Mwenzio nafua mwaka wa saba huu ndani ya NDOA wala hatubagui yeye akizikuta chafu anafua mie nikija nikizikuta chafu mzee najituma kama kawa, wala usikariri mapenzi au kanuni za mababu mfurahishe mwenziooo
 
Back
Top Bottom