Get to know A220-300 Air Tanzania is about to receive

Can anyone please post any end of the year financial statement of ATCL to start with
 
walipe pesa za wastaafu kwanza mpaka sasa watu hawajapata pesa zao za penseni
 

Kwa Africa respect ni Ethopian airline tu ,they started from the scratch. ..lkn hawa walioiba ndege za jumuia kujimilikisha....
 
when are they landing??? renders and wishful thinking pelekea bibi wa Ndii... your best friend
 
Kwa Africa respect ni Ethopian airline tu ,they started from the scratch. ..lkn hawa walioiba ndege za jumuia kujimilikisha....

Ndege za jumuia ambazo ziliendeshwa na madeni kutoka serikali ya Kenya. Tanzania na Uganda wa kupenda bure waliachilia airline iendeshwe 100% kwa madeni kutoka Kenya.
Lakini baada ya KQ kukua kutoka ndege tatu wakati huo, hadi zaidi ya 40.. na vile vile ATCL kuanguka, hili jambo la kuiba ndege likawa consolation yenu.
Wazembe wa bongolala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…