Get to know A220-300 Air Tanzania is about to receive

Dr ijm

New Member
Aug 11, 2018
3
45
Dreamliner bado mmepark haijaanza kuenda india? mambo ya East africa airways u hav no idea about it, kenya was paying everything while it struggled mkajaribu kutuchezea rough, by not refueling the planes in dar, till kenyans taught you a lesson that till todate mnamachungu nayo

Kwa Africa respect ni Ethopian airline tu ,they started from the scratch. ..lkn hawa walioiba ndege za jumuia kujimilikisha....
 

JKasuku255

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
228
250
when are they landing??? renders and wishful thinking pelekea bibi wa Ndii... your best friend
 

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
3,784
2,000
Kwa Africa respect ni Ethopian airline tu ,they started from the scratch. ..lkn hawa walioiba ndege za jumuia kujimilikisha....

Ndege za jumuia ambazo ziliendeshwa na madeni kutoka serikali ya Kenya. Tanzania na Uganda wa kupenda bure waliachilia airline iendeshwe 100% kwa madeni kutoka Kenya.
Lakini baada ya KQ kukua kutoka ndege tatu wakati huo, hadi zaidi ya 40.. na vile vile ATCL kuanguka, hili jambo la kuiba ndege likawa consolation yenu.
Wazembe wa bongolala.
 

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,766
2,000
Mbona haina matairi? Tumeingizwa cha kike.
20181214_175654.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom