Bond James
Member
- Nov 25, 2010
- 54
- 7
For those who are around the city center can get a connection of $500 peer year.
Huduma hii ni kwa wale wanaoshi katikati ya mji tu na utapata 256kbps na utaweza kuconnect 4pc na zote zitakuwa na speed nzuri.
Mkuu nadhani hapo hujajibu swali la maana zaidi.., Je charges zenu za ku-browse (yaani package zenu ni tshs ngapi) na mna package za mwezi au mna-package za limited mb..?Nashukuru sana ndugu,
Kwa gharama zilizotajwa hapo juu (USD 500) ni kwa wateja wanaishi katikati ya mji (City Centre).
Gharama ni kama ifuatavyo kwa wale wanaoishi maeneo ya katikati ya mji:
- Antenna 1 - USD 200.00
- Installation charge- USD 100.00
- Wireless device (Router) -USD 150.00
Mkuu una uhakika zile dial up modem zilikuwa 256kbps au zilikuwa 56kbps256kbps bado ipo? duuh kweli kazi ipo Tanganyika, Kweli maendeleo chini ya CCM ni sawa na 0%. Hiyo speed ya 256kbsp nilikuwa natumia kwenye modem za dial up. Na nimeishaisahu kama kuna speed kama hiyo, speed ya baiskeli. Wakati wenzako wanazungumzia 4mb to 100mb, Wee Bond unatuletea 256kbps tena kwa bei ya Juu mno. Si bora niende TTCL niapply Adsl ya uhakika. afadhali mmngekuwa mnaanzia 1mb au 4mb kidogo ningekueleweni.
Mkuu una uhakika zile dial up modem zilikuwa 256kbps au zilikuwa 56kbps
i had cats-net in my office due to poor service i discontinue using it, they are not respond to your query, if you call them they will never turn up....
and above all its the most expensive internet provider in Tanzania. they charge you in DOLLAR.
I had tried all, including third call Airtel, Uhuru selcom,TIGO,ZANTEL, RAHA....But recently i decided to try our TTCL...to my surprise..you can not beleive the internet is very fast, reliable and reasonable ... Well-done TTCL,
we have paid tshs 110,000 for one month and we have networked to be used by 7 users at the same time without loosing the speed....
just try TTCL and you will be suprised
Kaka wewe ni mmbongo?...ungeshuka na kiswahili ingependeza sana!