Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Could go for 5pcs kama ingekuwa ina-support simcards
Sure that is the very big weakness ''Tablet with no support for GSM voice communication, SMS, and MMS.''Could go for 5pcs kama ingekuwa ina-support simcards
Young_Master,
Ukiwa na device inayo-support SIM cards we nishtue; sihitaji additional devices maana najua itakuwa mzigo mwingine lol, lakini bei yako nimeipenda! Reasonable indeed
wapendwa,
mi hayo mambo ya matechnolojia huwa nayapa "shikamoo" napita najiendea zangu.
hayo ya sijui android, wifi, mifi, shangazi wajomba, aple, banana, nvidia, lydia nk nk siyajui kabisa. mi nachojua ni simu na komputa tu, basi. nikiweza kufanya kazi zangu na kuwasiliana na wengine kwa sauti na sms/email nk, nimemaliza!!
mbarikiwe sana
Glory to God!

Same here Ms Judith hii makitu hapana .
Laptop na simu yenye akili tu vinanitosha sana hii migogoro mingine hahaha sijui wifi nk nk :confused2:
Me nahic izo zote mbwembwe....ivi kuna haja gani ya kumiliki Ipad ya milions of shilings akati kuna mini laptop nzuri tu na zina uwezo mkubwa kuliko izo na bado price yake iko chini
Me nahic izo zote mbwembwe....ivi kuna haja gani ya kumiliki Ipad ya milions of shilings akati kuna mini laptop nzuri tu na zina uwezo mkubwa kuliko izo na bado price yake iko chini
Kazi zingine huwezi kaa umening'iniza lilaptop, na simu screen yake ni ndogo sana!..steve jobs ni jiniazi wakuu, hii kitu kwa sisi watu wa shamba ni ukombozi halisi!
Ni kweli kuna watu wananunua tablets kwa ajili ya mkumbo tu! Amini nakwambia, kama una ofisi kadhaa unazizungukia kila siku hii kitu itakusaidia sana!...ukinikuta kwenye mabanda ya nguruwe na iPad yangu aaaaah, saaafi: nabofya tu ngba ngba!