Ninyi mnaojifanya watakatifu ndo mashetani wakubwa, umetia mimba wanafunzi kwani hiyo ndo tabia nzuri? Kaa kimya watu wale mizigo, mburula wengine hawana tofauti na JIWE, yaani ukule Papuchi ulipe 150K? Sio usawa huu wa utawala wa ANko pimbi.Katika kitu ambacho siwez kufanya na sitokuja kukifanya nimchukue demu nimpeleke gest nimgegede haraf nimkimbie allow siwez,au eti niondoke zangu bila kumpa chochote naona kama vile natenda dhambi mara mbili vile
Hata Mie Sijawahi Fanya Nasiwezi Kamwe Kufanya Upuuzi Huo,kwanza Ntakaye Mlala Ujue Nimeshampenda Kwa Dhati Hivyo Sitaweza Kumfanyia UhuniKatika kitu ambacho siwez kufanya na sitokuja kukifanya nimchukue demu nimpeleke gest nimgegede haraf nimkimbie allow siwez,au eti niondoke zangu bila kumpa chochote naona kama vile natenda dhambi mara mbili vile
Kumpeleka gest demu haraf unamkimbia sio ujanja,ni ushambaNinyi mnaojifanya watakatifu ndo mashetani wakubwa, umetia mimba wanafunzi kwani hiyo ndo tabia nzuri? Kaa kimya watu wale mizigo, mburula wengine hawana tofauti na JIWE, yaani ukule Papuchi ulipe 150K? Sio usawa huu wa utawala wa ANko pimbi.
Big up bro, ni mwendo wa kugegeda bure kabisa.
Hata wewe ulihisi ni mwanamke ?Kumbe we dume
Nadhani haeleweki jinsiaHata wewe ulihisi ni mwanamke ?
Kwa sababu ya avatar zake ?Nadhani haeleweki jinsia
Mi najuaga ni mwanamke ahahahKwa sababu ya avatar zake ?
Labda ni sexlessMi najuaga ni mwanamke ahahah
ID imekuchanganya eenhe nyie wana jamii " F " mshazoea kukariri I'd [emoji23] [emoji1] [emoji13]Kumbe we dume
Gesti zipo wachina wapo makini ujue.. [emoji23] [emoji1]Kwahiyo ukajiona mjanja mwenyewe ulikumbuka condom lakini
Nikionaga uzi wako najuaga ni uongo uongo tu
Achana na kitu zinaitwa " emergency " ni hatari... [emoji13] [emoji1] [emoji23]Katika kitu ambacho siwez kufanya na sitokuja kukifanya nimchukue demu nimpeleke gest nimgegede haraf nimkimbie allow siwez,au eti niondoke zangu bila kumpa chochote naona kama vile natenda dhambi mara mbili vile
Siku zote najuaga wewe ni mchungaji au kuvuta bangi umepewa na mtu....Siku zote najuaga we ni mwanamke au hii story umehadithiwa nawewe ukaileta huku
Huu mchezo siyo Tatu mzuka ni mchezo hatari kwa afya yako. [emoji1] [emoji23] [emoji13]kuna tatzo la kiufundi hapa.. huyu manzi kawa dume! c mchezo
wewe I'd inakuchanganya sana hebu nipe sheria kuwa Jf lazima uweke I'd ya kike au kiume, ni maamuzi ya mtu bhanaa. [emoji1] [emoji23] [emoji13]Mkuu kuna watu wana identity crisis....
na huyu anaweza kua na matatizo makubwa zaidi...huenda male physical body yake ubongo wake hau-rejisti kua yeye ni mwanaume,una-rejista kama mwanamke japo yuko kwenye physical body ya mwanaume...
Hawa hufikia stage wanafanya upasuaji kubadilisha jinsia...
Ugonjwa hua pole pole..soon yakafika mbali haya!
Tulia wewe....[emoji23] [emoji1] [emoji13]Aliweka picha ya mwanamke mmoja hivi ambaye namfahamu, nikam-PM hata hakujibu ila akabadilisha.