Too bad mabadiliko hayaji hivi hivi hadi watu waumie. Hatuko tayari kuumia kwa sasa.
Kama ukombozi hautaletwa na Wazalendo waliopo kwenye system tuna miaka mingine mingi ya kulia kilio cha kusaga meno.
Mungu ilinde Tanzania dhidi ya udhalimu.
Mungu ilinde Tanzania dhidi ya watu hawa.
Mungu wapige pigo takatifu wote watakaoshiriki October 29 kuhalalisha matendo ya kishetani yanayoendelea hapa nchini.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.