Mkuu bei si mbaya ila hebu tuwaone. .. picha kiongozi na wazazi waonauza german shepherd puppies 5 month old laki 5 tu chanjo zote wameshapata
kumbe hawa ndo german sijui nini?huyo apo wako watatu madume wote
nyie ndio hua mnaenda hotelini unapewa menu halafu unacheki msosi wenye jina zuri then ukiletewa makande unakuwa mbogokumbe hawa ndo german sijui nini?
nice to know ushamba umenizidi
kwani makande hotelini yanaitwaje?nyie ndio hua mnaenda hotelini unapewa menu halafu unacheki msosi wenye jina zuri then ukiletewa makande unakuwa mbogo