German duss items.

MansaMusa

Senior Member
Sep 11, 2013
103
0
Hello ndugu, mie ni Mjasiliamali na muda mwingine huwa napenda kupiga stori na wazee, kuna kona nimekutana na mzee katika ongea ongea tukazungumzia suala la mali za Mjerumani na akanionyesha Rupia nyuma zina Makuti na mbele Rais ana ndege juu ya kichwa chake, nimeongea nae kanambia nitafute mteja lakini bdo anazo yeye. Ni Deustch Ostafrika 1 Rupee ya mwaka 1905 na 1913. Anayefahamu mtu anayenunua but awe serious buyer anambie na zinaweza uzwa kwa sh ngapi kila moja. Nipo serious ndugu zangu. Nipm ama nicheki (kilavelegrande@gmail.com)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom