Gereza hili linamfaa Bashite!

Hapana Bashite hawezi kufungwa kirahisi hivyo, kipindi cha utawala wake Nchini Darisalama Mateja walipungua sana! kuna haja apewe kitengo kingine anafaa sana. kumpeleka jela ni kupoteza watu muhimu katika jamii.
Tupe umuhimu mmoja tu wa bashite kwenye Jamii
 
Bashite hawezi fungwa..akifungwa nani atakua anampa amisa utamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…