kuforceking ndonini ndugu?????Maji mengi nani kwakwambia ndio sahihi nionyeshe mstari.kama hutaforce king
Kitu kinachonishangaza ni vile watumishi wa Mungu wanasakamwa kila kona! Ni kama watu wote walioandika wana uadui na huyu mtu! Ina maana huyu jamaa hajawahi kufanya jema hata moja! Ni kama yeye kuwa Mtumishi wa Mungu kimekera sana watu. Yeye ni mwanadamu tu kwani yeye ni Mungu! Watumishi wote, Mungu anawatumia kama punda au lorry! hivyo yeye kuanguka au kusimama hakuwahusu! Ikiwa anamwakilisha Mungu, wagonjwa wanapona, Mapepo yanatimuka, wachawi wanatupa vibuyu, watu wanafanikiwa na Mungu anainuliwa shida iko wapi! Msimwangalie mtumishi mwangalieni Mungu! Shida watu hawaamini kama Mungu anaponya wamezoea waganga hivyo wamemweka Mungu chini na kumwinua shetani. Hivi shetani anaponya? Mapepo yangekimbia? wachawi wangejisalimisha? kwa kweli mimi ninatamani kumwona huyu jamaa kama kwa Jina la Yesu mambo makuu yanatokea huyu ndio mganga ninayemtaka kwani hakuna mganga kama Yesu Kristo. Nimemfuatilia sana huyu mtu ndio maana nimeandika yote haya! Mengi mliyoandika ni uongo mtupu, mpaka jina lake, ametokea wapi, cheo chake, mambo anayoyafanya, hilo limenihakikishia wengi hawamjui na wengi hapa ni maadui wanachafua kazi anayoifanya. Tangu lini adui yako akakusifia! au akakusema vizuri! Kama haumwamini achana naye! Acha wale wanaoamini wakamwabudu Mungu na kupokea miujiza yao. Kweli wivu ni mbaya mlitaka awagawie hizo sadaka? Jamani Mungu akimwinua mtu kubalini!!! Mnafikiri Mungu amelala haoni yeye??? angeacha watu wote wapotee?? tena kwa taarifa yenu lol! watu wamejaa full j2 nilienda kuchungulia na ndio kwanza wanazidi kwenda!!! Hawa watumishi wanaojiona wema na wananguvu za Mungu si waombe ache basi! Mwacheni komandoo wa Yesu apige kazi kama mmeshindwa kuruka kwa ungo mseme!!
Unajua maana ya Ubatizo...??kuforceking ndonini ndugu?????
Kwanini YESU alimfata yohana mbatizji mto yordani ili akabatizwe??????/
kungekuwa na ubatizo wa kumwagiwa kichwani kama mnavyofanyiwa nyinyi YESU asingeenda kulekule ndani ya mto yordani.,.makanisa yalikuwepo tangu enzi zile basi yohana angeka kanisani na kubatiza watu kwa kuwamwagia kichwani tu kidogo,......
nikwambie ukweli ndugu kwamba ubatizo wa maji machache wa kummwagia mtu vimaji kichwani,. mnaamini kuwa mmebatizwa tayari,.hiyo sytem ilianzishwa na king constantino wa roma miaka hiyooo ya zamani,.kwasababu aliona ubatizo uliokuwapo kipindi kile na nyie waroma mlikuwa mnautumia wa maji mengi,kwakuw yeye alikuwa mfalme akaona kwenda kuzamishwa ni aibu kwake,....
ndo akaanzisha ubatizo huo wenu,...wa maji kiduchu,kichawni....alikuw anajiita consantine the great(constantinople)
...........
umesoma bandiko langu vizuri,..ningekuwa sifahamu nisingezungumzia,.Unajua maana ya Ubatizo...??
Umeongea maneno mazito sana huku mwishoni yaani ume conclude vizuri sana sana kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi nawala sio kupitia kwa somebody else Mungu wetu ni mwema sana na anatusikiaNi nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Nasikia ni Nabii,
Je, huduma yake ipo wapi?
=============
============
bora niwe pagan tuu
Hapana mkuu usifanye hivyo Bali kuwa makini na watumishi wa nyakati hizi wengi wao ni wapigaji tu!! Hata maandiko yanatuonya juu ya siku za mwisho so endelea kumwabudu Mungu usiangalie makandokando yanayokuzunguka
ndugu unajua maana ya masihi??????????ah mkuu wenyewe wanasemaga usimguse wala kumjadili masihi wa Bwana yani hata kumuhoji marufuku wanasahau kuwa tumeambiwa tuzijaribu hizo roho sa sina uhakika kama kuhoji pia imo katika kupata taarifa ili tupime au haipo. Wakali sana wakihojiwa mkuu
KWANINI NDUGU??????bora niwe pagan tuu
Watu tatzo hawasomi neno,.ndomaana wanayumbishwa na kuchanganywa,..Wanadanganywa kirahisi kwa sababu hawasomi maandiko. Laiti km wangesoma maandiko yanasema nini juu ya wachungaji wa aina hii wasingepoteza mda mwingi hivo. Wakristo wengi huwaamini viongozi wao kuliko hata kristo mwenyewe. Ktk biblia kila kitu kimewekwa wazi kabisa namna Mungu anavotaka aabudiwe, na kwa siku ipi, kutoa sadaka/zaka na viwango pia vimeandikwa. Namna ya kuomba , namna ya kumshukuru Mungu, dalili za kuja kwa kristo nk nk. Sijui watu wanachanganyikiwa nini hapo.
Labda nikuulize unajua ni kwann maji yanatumika na si mafuta au maziwa...Why water..??umesoma bandiko langu vizuri,..ningekuwa sifahamu nisingezungumzia,.
ila biblia ni kubwa labda uniambie maana nisiyoijua.....ila si nje ya ubatizo wa maji mengi
karibu mpendwa,
Ukiwa stressed njoo kwa jamii forum ah ah ah ah nimecheka kama mazuri. Ww ndio huyo muhusika nini? Maana umetetetea point had povu linakutoka nahis; Mungu hawez kunyang'anya mtu mke my dear frnd. Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe; ndoa zina ups and downs ila huwa tunasema kuna neema ya Mungu inatubeba;Eti kuna mtu alimnyang'anya mke....Huyo anayedai alichukuliwa mke alikuwa wapi??? watu wengine wakipata wake wazuri kazi kuwapiga ovyo na kuwatesa...mwanamke ameamua kujishika kisawasawa na Mungu wake. oooh nimenyang'anywa!!! alifikiri mke ni kibega!! ulipokuwa unampiga na kumchoma moto na kumpeleka police ulifikiri ni mtumwa!!!!
Mkamate Mungu wako kisawasawa mama!!! acha waseme mpaka wafe!!! Tena huyo jamaa asipotubu cha moto atakiona manake Mungu huwa anaangalia penye haki. Hivi GeorDavie ni mtu wa kumchukua mke wa Mtu??? kwa taarifa yake hakunyang'anywa na GeorDavie alinyang'anywa na Mungu...ajifunze jinsi ya kumtunza mwanamke, kumhudumia na kumpenda kwa dhati, Haoni hata aibu??!!! Mwanamke ni almas baba! sifa ya mwanamke ni abembelezwe!!
Kama ameshajifunza vya kutosha amwombe Mungu amrudishie mke wake. Watu wanaongea na kumsema mtu wa Mungu vibaya wakati hawajui ukweli uko wapi! Kwa hiyo alikuwa anampiga akifikiri kwa kuwa anamjua Mungu ataacha kuondoka au ataacha kusali. Tena ninamshauri huyo mwanamke asije akaondoka kwenye hiyo huduma hata angemrudia huyo mume!
Mkamate Yesu mama wa Upako!!! Simama Imara, kishujaa maneno yasikurudishi nyuma. walitaka wakukute kwenye nyumba ya mganga wa kienyeji. Sugua goti mama sijawahi kumwona aliyemkimbilia Mungu akiaibika!
acha mkwara bana mtumishi.ndugu unajua maana ya masihi??????????
1yohana 4;1-wapenzi,msiiamini kila roho ,bali zijaribuni hizo roho,kwamba zimetokana na MUNGU,kwasababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.
kuzijaribu roho sio kwa kumuuliza best yako mkiwa kijiweni,.kujaribu roho lazima uwe mtu uliokoka unaejua neno la MUNGU kiukweli,maana unabii unatokana na Neno la MUNGU,ndomaana biblia ikasema roho inayomkiri YESU hiyo roho inatokana na MUNGU kinyume na hapo hiyo ni ya ibilisi,.
ukisoma 1korintho 12;1,biblia inasema tufahamu kuhusu kwa habari za karama za roho.so huwez kufahamu2 ukiwa nyumbani umelala au sie uliokoka.
mambo ya karama za rohoni zina formula mkuu
sasa je huyo unaempinga/usiamini unabii wake je umempinga kwa neno la MUNGU?
unafahamu principals za unabii????????
1korintho 14;29
ila kumbuka mambo ya MUNGU hayahitaji mzaha,.kama unata kufahamu tafuta wahusika wakuelimishe,kuliko kukejeli na kudhihaki NI UOVU mbele za MUNGU,
Mungu anapatiliza uovu hadi kizazi cha3 na cha4 cha wamchukiao,,,,,.........
1wathesalonike 5;20-msitweze unabii
MUNGU HADHIHAKIWI NDUGU.
Usingekuwa na hata haja ya kujibishana na mtu huyo asiyejua maana ya ubatizo, mwambie akatafute kamusi aangalie maana ya neno ubatizo au aingie kwenye dictionary atafute neno baptism atapata maana yake....umesoma bandiko langu vizuri,..ningekuwa sifahamu nisingezungumzia,.
ila biblia ni kubwa labda uniambie maana nisiyoijua.....ila si nje ya ubatizo wa maji mengi
karibu mpendwa,
Yesu alibatizwa mto Yordani! vipi hebu niambie ni lini ulikwenda huko Yordan kubatizwa..Maana si unafuata aliyoyafanya Yesu..?? Au vile visima vya maji machafu mnavyotumbukizws mule ndani ndo mnaita Yordani..?? Au nioneshe andiko linalosema watu watumbukizwe kwenye visima...Usingekuwa na hata haja ya kujibishana na mtu huyo asiyejua maana ya ubatizo, mwambie akatafute kamusi aangalie maana ya neno ubatizo au aingie kwenye dictionary atafute neno baptism atapata maana yake....
Yesu alipokuwa mdogo wazazi wake walimpeleka kanisani kubarikiwa na sio kubatizwa, ila alipofikisha miaka 30 kwa hiyari na utashi wake akaenda "KUBATIZWA" kama wanasema wanafata maisha na matendo aliyoishi Yesu basi ni Yesu yupi wanayemfata? Yawezekana wana Yesu wao na biblia yao, usipokuwa mtu wa kusoma maandiko utakuwa mtumwa wa waabudu sanamu na wenye chapa ya mnyama ambao huishia kuita "Baba Mtakatifu" ...wasome maandiko na waache kudanganywa na wachungaji feki wanaopiga hela zao na kutajirika...
Mkuu wala usihangaike na hawa wanao tetea uzinzi kisa kafanya "mtu wa Mungu" kwa taarifa huyu nabii baada ya kumchoka huyo mwanamke nae kesha muacha tena kwa kashfa juu kuwa wewe unanipotezea waumini bora kila mtu ashike ustaarabu wake, na mwanamke alipoona mapenzi yameanza kupungua akachota kiasi kikubwa cha pesa hapo kanisani kwa nabii kwa kuwa alikuwa mtu mkubwa jamaa aka mind ndio aka changanya na ya kunyooshewa vidole akamtosa jumla, mwanamke nae baada ya kuachwa akaenda mahakamani kuta urithi kwa mali alizochuma na mumewe wa ndoa na haki ya kulea watoto wake, wewe umeacha watoto wadogo tena last born wa 2yrs umeenda kuishi kimada leo wamekuwa unarud? Halafu una kijita mtu wa Mungu? Watoto wakatoa ushahidi wa aibu mahakamni kuwa baba akisafiri Nabii anakuja nyumbani usiku halafu mama anatuambia tukalale yeye anabaki na nabii mpaka usiku sana, siku nyingine wana kaa kwenye gari na mama anampelekea juisi nabii wanakaa huko mpaka sisi tunaenda kulala, mwanaume akapigilia msumari mali zote ni za watoto na nitaendelea kukaa na watoto kama alivyo niachia. Mwanamke kakosa vyote upendo wa mume, watoto na nabii. Kazi kwa vimada kuamua kusuka au kunyoa, kumfuata Mungu na amri zake au kufuata Nabii na mali zake.Ukiwa stressed njoo kwa jamii forum ah ah ah ah nimecheka kama mazuri. Ww ndio huyo muhusika nini? Maana umetetetea point had povu linakutoka nahis; Mungu hawez kunyang'anya mtu mke my dear frnd. Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe; ndoa zina ups and downs ila huwa tunasema kuna neema ya Mungu inatubeba;
nampa pole huyo mwanamke yalimpata; kuhusu kuwa na mtumishi cjui cz cmfahamu vzr huyo mtumish wenu; kwa imani yangu ndogo ilibid huyo mama asimame nafas ya mwanamke aombe kwaajil ya mumewe; women tuna nguvu ya kuomba kwa Mungu; na Mungu anatusikiliza; ni hivi kuna maombi ya Rehema; kuna maombi ya toba; kuna maombi ya neema na meeengi saana.
Sitak kujua nn source ya ugomvi bt nachojua kuna majaribu mengi sana; na ktk majaribu tunapo mtafuta Mungu Kwa bidii sana; kama huyo mama kasimama vizr kwa Mungu aliye hai; atarud kwa mumewe; hapo shetan kapata mlango wa kuingilia. Vita ipo ktk lango lake la ndoa. Asimame ktk nafas yake. Ngoja niishie hapa nisije anza kuhubir bure hapa
Uhiiii sijui tunaelekea wapi siku hizi. Sasa alitegemea mumewe amkubali tena? Eeh hata Mungu anajua kutenda haki; Sasa kajiachisha kwa mume wake kaenda kuolewa kwngne alitegemea mumewe atamkubal? Uhhhh ooh God show mercy on us we are so sinful we cant even show our face to u;Mkuu wala usihangaike na hawa wanao tetea uzinzi kisa kafanya "mtu wa Mungu" kwa taarifa huyu nabii baada ya kumchoka huyo mwanamke nae kesha muacha tena kwa kasfa juu kuwa wewe unanipotezea waumini bora kila mtu ashike ustaarabu wake, na mwanamke alipoona mapenzi yameanza kupungua akachoka kiasi kikubwa cha pesa hapo kanisani kwa nabii kwa kuwa alikuwa mtu mkubwa jamaa aka mind ndio aka changanya na ya kunyooshewa vidole akamtosa jumla, mwanamke nae baada ya kuachwa akaenda mahakamani kuta urithi kwa mali alizochuma na mumewe wa ndoa na haki ya kulea watoto wake, wewe umeacha watoto wadogo tena last born wa 2yrs umeenda kuishi kimada leo wamekuwa unarud? Halafu una kiita mtu wa Mungu? Watoto wakatoa ushahidi wa aibu mahakamni kuwa baba akisafiri Nabii anakuja nyumbani usiku halafu mama anatuambia tukalale yeye anaaki na nabii mpaka usiku sana, siku nyingine wana kaa kwenye gari na mama anampelekea juisi nabii wanakaa huko mpaka sisi tunaenda kulala, mwanaume akapigilia msumari mali zote ni za watoto na nitaendelea kukuaa na watoto kama alivyo niachia. Mwanamke kakosa vyote upendo wa mume, watoto na wa nabii. Kazi kwa vimada kuamua kusuka au kunyoa, kumfuata Mungu na amri zake au kufuata Nabii na mali zake.
Kha!! Ngoja nijaribu kuufufua huu uzi! Na mimi naweza kuitwa nabii eti!! Ila huyo mnyeramba anaonekana mpigaji aisee, Nabii mjanja mjanja!!hahahaaaMkuu wala usihangaike na hawa wanao tetea uzinzi kisa kafanya "mtu wa Mungu" kwa taarifa huyu nabii baada ya kumchoka huyo mwanamke nae kesha muacha tena kwa kashfa juu kuwa wewe unanipotezea waumini bora kila mtu ashike ustaarabu wake, na mwanamke alipoona mapenzi yameanza kupungua akachota kiasi kikubwa cha pesa hapo kanisani kwa nabii kwa kuwa alikuwa mtu mkubwa jamaa aka mind ndio aka changanya na ya kunyooshewa vidole akamtosa jumla, mwanamke nae baada ya kuachwa akaenda mahakamani kuta urithi kwa mali alizochuma na mumewe wa ndoa na haki ya kulea watoto wake, wewe umeacha watoto wadogo tena last born wa 2yrs umeenda kuishi kimada leo wamekuwa unarud? Halafu una kijita mtu wa Mungu? Watoto wakatoa ushahidi wa aibu mahakamni kuwa baba akisafiri Nabii anakuja nyumbani usiku halafu mama anatuambia tukalale yeye anabaki na nabii mpaka usiku sana, siku nyingine wana kaa kwenye gari na mama anampelekea juisi nabii wanakaa huko mpaka sisi tunaenda kulala, mwanaume akapigilia msumari mali zote ni za watoto na nitaendelea kukaa na watoto kama alivyo niachia. Mwanamke kakosa vyote upendo wa mume, watoto na nabii. Kazi kwa vimada kuamua kusuka au kunyoa, kumfuata Mungu na amri zake au kufuata Nabii na mali zake.