sisi wapenzi wa timu yetu bora hapa nchini namuonea huruma kaburu kumsikia kila mara kusema habari za simba nauliza hakuna msemaji wa simba au tumebadilisha mtindo siku hizi
Mi vile ni Mwanasimba, Hata mimi sijafurahishwa na Kaburu kuwa Msemaji Mkuu wa Simba wa kila jambo hata kwa minor cases. Pale Simba kwa sasa kuna vijana kama akina Ally Suru, Tully , Kajuna na wengineo . Yeye abaki kuzungumzia masuala makubwa kama MAENDELEO YA UWANJA WA BUNJU. Tatizo huyu Kaburu anapenda sana sifa hadi anaongelea hadi masuala ya ufundi. Kaburu nakusihi uache hizo sifa badala yake ufanye matendo zaidi copy mfano wa Rais wako Bw. EA . BE PROFESSIONAL AND FOLLOW PRINCIPLES OF DELIGATION OF POWER