Genital herpes…

Asante kwa Taarifa
 
Una vyuzi ndefundefu sana..!!!
 
Nasikia zipo tiba!asili zinatibu lakini sina uhakika.

Kama slivyoandika mmoja hapo juu, huwa hazi poni.

Soma majarida ya kitaaluma utaelewa.
 
Kuna mwamba alileta hapa jukwaani jinsi alivyo angaika nao hadi kupona 👇👇👇
USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua
 

Vitakuja tena
 
Ubaya ni kwamba nilitumia kinga, shida ilikuja kutokea pembeni ya uume kwenye nncha
Yalikugusa maji maji ya uke wake ndiyo maana ukaambukizwa.

So,huyo malaya aliyekuambukiza ulishawahi kumshauri akajitibie ili asiendelee kuusambaza kwa watu zoa zoa kama wewe?
 
Dawa zipo na zinaponyesha
 

Vinapiga pasi ndefu vinaweza kurudi Tena Kaka, ila sikuombei virudi, kuwa makini na hawa wanawake ndugu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…