MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 632
- 781
NakaziaSawa
Ungeuliza hivi: kuna wanajeshi wanaua raia wa kabila lao! Maana M23 ilichokifanya hapo ni kulipiza kisasi tu.Kwahio watusi wa m23 wanaua watusi wenzao waliopo ndani ya jeshi la drc?
DRC ni nchi ya wapumbavu, washenzi na wajinga kupindukia...ni waoga, watu WA misifa na hata IQ Yao ni ya chini sana...wewe fikiria wengi wao hupenda kujichubua ili waonekane ni wazungu..matatizo ya DRC hayakuanza Leo ..miaka ya nyuma kulikuwa na Jimbo la Katanga lililotaka kujitenga.. Kuna MTU alikuwa anaitwa Moise Tshombe....hata huyo Tshishekedi ni ovyo tu...amevimba mishavu kama dubu..wananchi wake wanakufa yeye anakwenda Paris...very stupid..Wakongo wengi ni wanafiki na wenye tabia ya usaliti...halafu ni waoga kama njiwa au kunguru..ovyo kabisa...DRC is a failed state ndiyo maana Kagame anajipigia tu...Kongo hata tukiwakusanya panya road wetu na wavuta bangi wanaweza kusonga mbele Hadi Kisangani..Jenerali MASUNZU, siku za nyuma alipewa uongozi wa kanda ya 3 ya kijeshi, ambayo inaundwa na mikoa ifuatayo: Kivu Kaskazini, Kivu kusini, Ituri, Haut-Uélé na Tshopo, amesalimika baada ya kuundiwa kikundi cha watoto wa simba na M23. Ambush hiyo, iliondoka na walinzi wake, huku yeye akijeruhiwa. Na mpaka sasa, amepelekwa mjini Uvira kwa matibabu zaidi, huku lengo likiwa hali yake ikizidi kuwa mbaya, apelekwe Bujumbura, ampapo kuna uwanja wa ndege kwa ajili ya safari ya Kinshasa.
Taarifa zinazosambaa ni kwamba ameshauliwa, ila uhakika ni kwamba bado anapumua.
Huy Masunzu, ni jamii ya watutsi wa Congo huko, na alipewa jukumu la kuhakikisha M23 inapoteza maeneo yote iliyojinyakulia.
Updates zote mtapewa hapa hapa.