Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 556
- 1,348
wacha waje maana teknolojia imeweka uwongo wenu wote waziiiiNgoja Gen Z wenzio waje.
Gen Zzzzzzzzzzzzzzz mnaitwa!
karibu jogging club ukimbize magonjwa nyemelezi.Wazee tukae kandoo
Ujawahi meza mbegunikaambiwa nikimeza mbegu ya tunda lolote inaenda kuota tumboni mti unatokea kichwani ๐ฎ๐
kwa kipindi kile cha utoto nilijitahidi sana kutokumezaUjawahi meza mbegu
๐Mm niliambiwa mapenzi yapo tuu, nisiwe na haraka nikiwa mkubwa ntayakuta.
๐ญ Nmeshakuwa mkubwa, naambiwa nitafute pesa kwanza