Link iko online mbona...kuna mtu ameeleza misheni nzima...nani na nani walisafiri kwenda South siku ya Chrismas nakuacha kula sikuu nyeti na famila zao...
Na kibaya zaidi waliaga wanaenda Uganda lakini wakaonekana South walitumia ndege za kuunga unga na mwisho wakaingia South kwa magari kupitia boda...watu wana data na inteligensia zao...Na hili linaonesha kuwa PK pia hayuko salama maana hawa 'wapinzani' wake wana intelijensia ya hali ya juu pia...
Iko online hiyo taharifa...na majina kamili

Hivi nyie mnaomsema vibaya Rais Kagame kwa nini mnakuwa wanafiki? Kuna nchi gani duniani itaacha wasaliti na wahaini waendelee kuvuruga usalama wa nchi na taifa? Pres Kagame hamumunyi kama viongozi wengine wanafiki Africa. He's a man of principle, harembeshi.
Adhabu ya usaliti na uhaini ni kifo. Huwezi kuratibu mauaji ya wanyarwanda kwa magurumeti ukiwa na nia ya kuleta machafuko halafu uachiwe uishi. Na huu uzushi eti Pres Kagame alimuua dereva wake kwa kuwa eti alitaka kuoa mhutu mmeutoa wapi? Acheni kusikiliza propaganda za genocidaire. Suala uongozi nchini Rwanda ni zaidi ya Hutu against Tutsi. Kwanza the differences are mainly superficial. Na wanaompinga au kumsupport Pres Kagame wapo wahutu na watutsi. It's not clear-cut.
Mkuu hiyo link iko hapa JF?
Google 'Kagame the killer' kuna news nyingi sana online si JF
Kwanini memorial ya Genocide ..inaitwa..Genocide Against Tutsi..
Wakati kuna Wahutu wengi tu nao waliuwawa...
Kiukweli Kagame anaogopesha anadungua watu hata waliokimbilia Italy itakuwa kwa Zuma?
Naomba vitisho vyake kwa Kikwete visipuuzwe maana huyu hasamei mtu anaweza kusubiri hata astaafu hakyamama!!
"Once criminal Paul Kagame told his selfish parliamentarian that, "I will smash the opposition with the hammer and crush them." Once Paul Kagame talks about something, he will always follow on it. Once criminal Kagame says that he will kill you, he will make sure that you're dead. The criminal has now got his target again. "
acha upuuzi wewe, Karegeya hakuwahi kuwa msaliti wa Rwanda bali ni wa Rais Kagame. Na kama adhabu ya msaliti ni kifo mbona mahakama haikumukumu kifo bali miaka 20 jela! Watu wasio na akili kama wewe ndio huwa mnawapa kichwa hawa madikteta! Jaribu kufikiria suala la haki za binadamu kwanza kabla ya kutoa comment, mnatukera sana watu wenye akili na wapenda haki kama mimi kwa comments zenu za vijiweni!Hivi nyie mnaomsema vibaya Rais Kagame kwa nini mnakuwa wanafiki? Kuna nchi gani duniani itaacha wasaliti na wahaini waendelee kuvuruga usalama wa nchi na taifa? Pres Kagame hamumunyi kama viongozi wengine wanafiki Africa. He's a man of principle, harembeshi.