Karibuni sana tukuhudumie ww mwenye uhitaji wa mtu wa usafi nyumbani kwako kwa usafi wa nyumba,gadern,toilet,usafi wa nguo nk...usihangaike kwa uhaba wa wafanyakazi tuone Gemab Enterprises tukuwekee mazingira ya nyumbani kwako safi na kwa afya yako na familia zaidi.Tunadeki,tunanyonya vumbi kwenye sofa/kapert na hata kufua capert ,tunafua nguo,tunaosha vyombo na hata kupika ukihitaji karibuni tuwahudumie.