C Cornestone Member Joined Jun 26, 2025 Posts 20 Reaction score 5 Jul 25, 2025 #1 Chini ya uongozi wa Rais Samia, vijiji vyenye huduma ya maji mkoani Geita vimeongezeka kutoka 204 hadi 420 kati ya vijiji 486, huku visima vya maji vikiongezeka kutoka 299 hadi 389 ndani ya miaka minne tu. GEITA TUNATIKI✅
Chini ya uongozi wa Rais Samia, vijiji vyenye huduma ya maji mkoani Geita vimeongezeka kutoka 204 hadi 420 kati ya vijiji 486, huku visima vya maji vikiongezeka kutoka 299 hadi 389 ndani ya miaka minne tu. GEITA TUNATIKI✅