GEITA: Mama na mtoto wa miezi 10 waangukiwa na ukuta na kufariki

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
UKUTA WAUA GEITA: Mama na mtoto wake wa miezi 10 wakazi wa Bulega wilayani Bukombe wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba.

Familia imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 
Pole sana kwa wafiwa, marehemu R.I.P. Hili jimbo lingekuwa chini ya ukawa mama yangu, watu wangetoka matusi na kebehi hapa kama vile mbunge kazi yake ni kujenga nyumba.
 
Back
Top Bottom