Gea & dina wa clouds fm michango yetu inafika jamani??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,675
Reaction score
37,857
Kwenu wana gea n dina polen na shuguli za kila siku athough zingine mnawachoma watu live..jamani kuna huyu mama aliletwa na mumewe kutoka huko kwao akwa anasemwa azai azai mzee akaona huyu ndie mzuri wa dar gafula mama kimetinga baada ya miaka kadhaa mzee kakimbia kisa anadai mama tangu apate ujauzito akimwomba amkatikie akatiki ajinyonge kama zamani anyongi mzee kala kona...wana shari hawa wameamua kulipa fadhila kwa kumrudisha mama wa watu....ukiwa kama msamaria na mwenye uchungu hii si story tunaomba changia kwenda clouds fm waone hawa ma binti gea ama dina kwa maelezo zaidi..natumaini michango itafika although mkiagana mnatangaza mtanda jirusha sehemu fulan mie pale mwenzenu ndio nawaza 20 yangu lakini nawamini best
 
sasa usamaria gani hapa unahitajika???? Tusilemae lemae kila tatizo ni la misaada. Unajua hata kwenye usamaria kuna priorities na hatua. mahakama ipo, Ustawi wa jamii hawakosi fungu,TAMWA ipo ,Mume yupo.

Au mimi sijaelewa. Msaada.
 
Asante kwa habar hii ya kusikitisha kiasi.

Ila muda mwingine jitahidi uandishi uwe mzuri. Nasema hivi kwa sababu nilipoisoma habar yako mara ya kwanza nilitoka kapa. Sikuelewa kitu.

Nilielewa baada ya kurudia mara 3.

Sijui ni mimi nazeeka vibaya?! Sijui kwa kweli

Ni hayo tu.
 

uzee umeniangukia tuvumiliane vijana
 

maprosoo bwana kazi kwelikweli
umechangia ndio
umehoji kama wanafikisha ndio
gafla tena umewaamini kwamba wanafikisha, ndio
saa sijui lengo mama la hii thread lilikua nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…