hero7 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 220 Reaction score 70 Nov 27, 2016 #1 Habari !wakuu ningependa share nanyi kujua ipi katika ya foaud na gbwhatsapp bora zidi na kipi kimekuvutia kati ya gbwhatsapp na foaud.
Habari !wakuu ningependa share nanyi kujua ipi katika ya foaud na gbwhatsapp bora zidi na kipi kimekuvutia kati ya gbwhatsapp na foaud.
AMB JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 207 Reaction score 67 Nov 29, 2016 #2 hero7 said: Habari !wakuu ningependa share nanyi kujua ipi katika ya foaud na gbwhatsapp bora zidi na kipi kimekuvutia kati ya gbwhatsapp na foaud. Click to expand... foaud sijatumia lakini gbwhatsapp ni nzuri
hero7 said: Habari !wakuu ningependa share nanyi kujua ipi katika ya foaud na gbwhatsapp bora zidi na kipi kimekuvutia kati ya gbwhatsapp na foaud. Click to expand... foaud sijatumia lakini gbwhatsapp ni nzuri
sameerkhan Member Joined Nov 5, 2015 Posts 97 Reaction score 34 Nov 29, 2016 #3 Gbwhatsapp ni habari nyingine hii kitu ni nzuri sanaa aisee
AMB JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 207 Reaction score 67 Nov 29, 2016 #4 😉😉Niliwahi kutumia line mbili kwa OGWhatsapp anayejua kwa GBWhatsapp msaada tafadhali
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,199 Nov 29, 2016 #5 sameerkhan said: Gbwhatsapp ni habari nyingine hii kitu ni nzuri sanaa aisee Click to expand... Uzuri wake ni upi hasa
sameerkhan said: Gbwhatsapp ni habari nyingine hii kitu ni nzuri sanaa aisee Click to expand... Uzuri wake ni upi hasa
sameerkhan Member Joined Nov 5, 2015 Posts 97 Reaction score 34 Nov 29, 2016 #6 Ta Kamugisha said: Uzuri wake ni upi hasa Click to expand... Tushee maujanja ya gbwhatsapp
sameerkhan Member Joined Nov 5, 2015 Posts 97 Reaction score 34 Nov 29, 2016 #7 Pitia huo uzi utakusaidia
AMB JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 207 Reaction score 67 Nov 29, 2016 #8 sameerkhan said: Pitia huo uzi utakusaidia Click to expand... Sameerkhan siuoni huo uzi