Gb 5 za halotel kwa 4000

lannister

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
13
Reaction score
21
Pata GB 5 za halotel za kutumia wiki nzima kwa 4000/= Njoo Pm.

Nb:
Malipo ni kabla ya huduma,unalipa pesa unatuma namba unaunganishwa sababu ya kufanya hivi ni kuwa niliwahi kuleta offer hii kwa Vodacom mwaka jana niliishia kutapeliwa nilitukanana na watu humu hadi kupigwa ban la milele.
 
Mkuu unatoa risiti?
 
Za mwezi vipi mkuu zinapatikana ?
 
Vipi za mwezi mkuu?
 
La voda bado lipo??
 
Mi baba alinikataza kubeti..
 
Asaada wa anayejua jinsi ya kuhamisha muda wa maongezi/bando voda-voda.
 
Mna moyo watu wenye matangazo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…