Gazeti Mwanahalisi

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Jamani wadau hv hili gazeti linapatika mtandaoni au halipo?maana tunakosa habari muhimu sana.
 
Lipo gazeti hili lakini mala ya mwisho aliingiza Data tarehe 21/05/2008 baada ya hapo haja update tena. tafuta kwenye http://www.halihalisi.co.tz
Kubenea unaweza kidogo kutuambia lililokupata hadi ukaacha kutujuza mambo mbalimbali maana huku tuliko hatuwezi kupata magazeti haya maana yanayotuzunguka mengi yameandikwa kinyanja(kinyanja ni lugha inayozungumzwa sana hapa niishipo.)
 
nashukuru wadau na nimeona toleo la mwisho ni tareha 11 nov 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…