Naomba member mwenye kipande cha gazeti la mwananchi,la 2010 february 02, kuna Tangazo la scholarships za china,akirushe hapa jamvini wadau tuchamgamkie.Nimesikia deadline ni kesho.
Ingia kwenye website yao..au ingia google andika gazeti la mwananchi and then ukifika huko ndani tafuta tarehe husika.Au ingia kwenye webisite ya hao waliotoa hilo Tangazo.