View attachment 541491
Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .
Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.
Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
Vitu vingi sana vya muhimu vya Tanzania huwezi kuvipata kwenye google, ma blog mengi sana waandishi wake elimu hakuna, blog nying za Tanzania zimejaa mapenzi, na siasa na udaku halafu taarifa nyingi zinazo ihusu Tanzania zime andikwa kiswahili, hao wazungu walikuwa hawana mda wa kutafuta google then wai translate..Kwa nini isiwe umbumbu wa Mwandishi, wame report kila sehemu kuwa Everton imewasili Dar es salaam, na kwamba watacheza mechi na Goal Mahia toka Kenya Dar es salaam....
Hata kama ange google kidogo tu angekutana na habari nyingi juu ya mechi kuchezwa Uwanja wa Taifa Dar es salaam..
Balozi atafanya nini katika hili?
Wazungu sio Malaika, wapo Mbumbumbu wa kiwango cha rami!!
Hakuna wakulaumiwa ila hao waandishi waledi wao ni wa Chini hawajui KAZI yao ndio maana kuna MTU aliwahi kusema sikuhizi hakuna waandishi kuna mashirawadu. Mwandishi / Mwana habari kama Chars hilari wabobevu hawawezi kukurupuka hiyo. Jana nimeona kwenye mitandao nimeona pia wanaliita Jiji la DSM fishing Village na Baadae wakabadilisha.. Ni wakuwapuuza tu watarekebisha wenyewe.View attachment 541491
Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .
Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.
Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
Kuhusu ujio wa Everton sio kweli Mkuu, hata ukienda website ya BBC (sio ya kiswahili) walikua wana report habari ya Everton toka wanapanda ndege kwao mpaka wanashuka Dar!Vitu vingi sana vya muhimu vya Tanzania huwezi kuvipata kwenye google, ma blog mengi sana waandishi wake elimu hakuna, blog nying za Tanzania zimejaa mapenzi, na siasa na udaku halafu taarifa nyingi zinazo ihusu Tanzania zime andikwa kiswahili, hao wazungu walikuwa hawana mda wa kutafuta google then wai translate..
Tanzania mlisha fail kitambo sana hamna mnalo liweza na hakuna mtakalo kuja kuliweza...
Usije ukashangaa Somalia imeizidi Tanzania kiuchumi...
Waache upuuzi, mbona boss wa ACACIA hakutua Nairobi?Tanzania haijulikan ni nchi ya wap. ...sasa ili kutowapa shida wasomaji wake ndo maana wanatafuta nchi angalau inajulikana kama Kenya, ndo maana vitu vingi vizuri vinatajwa vipo kenya ili kutoshusha thamani ya ivyo vitu
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Acha waandike wakenya, siku ukiulizwa what is font ferd unajibu nini?Hao ni mbumbumbu na waandishi habari uchwara,msidhani basi kwa kuwa ni wazungu basi wanajua kila kitu
Wakenya ni mda mrefu walikuwa wanatembelea nyota ya Tanzania.ikumbukukwe kuwa kwa mda mrefu sasa kenya inajulikana ndiyo nchi pekee ya afrika mashariki na tz wanaitambulisha kama mkoa.Hawaijui Africa
Na wale waliotangaza trump kampongeza magu nadhani pia wapo clouds!ni vilaza Namba mojakumbe waandishi wa habari wa ovyo ovyo hawapo clouds na efm tuu, hata uingereza kumbe shazi. hii tasnia ya habari inahitaji nyongeza ya kitu ili kuimprove
Swali zuri kwa great thinkers....Tatizo vituo vya taifa vya utangazaji vyenyewe vipo busy kuonyesha matukio kama chereko chereko na mambo mengine yasiyo na faida.
sent from my Makinikia 7 using jamiiForums mobile app
Ni tukio/shindano la kibinafsi hivyo television ya taifa haihusiki mpaka labda ambapo wangelipwaHivi tbc walionyesha pambano hilo??
Unajua kwenye map mwananyamala yote ni bwawa kubwa..Hilo gazeti hovyo kabisa jana wameliita Dar kuwa ni FISHING VILLAGE , kumbe waandishi wavivu siyo tu akina Salva ata huku wapo wengi tu . Aya bana wazee wa fishing village endeleeni kuvua makenikia.