sio huyo mmoja,ni general
mfano kuzuia wanawake kwenye events ambazo culture nyingine hawazuii
pia hata language ya kiarabu ina utajiri wa maneno yanayohuu gays na gay clture in generall
hata kiswahili maneno yote yanahoyusu gays yametoka kwa waarabu

Hapo kwenye Red sidhani kama ni justification enough. Lugha kuwa na maneno mengi pia sio msingi mzuri wa kubase analysis yako hasa ukilinganisha na kiswahili. Kiarabu ni lugha kongwe iliyokuwepo tangu enzi za ancient world ambapo kuwa bisexual ilikuwa ni okay to some extent (hata Alexandra the Great anaaminika kuwa alikuwa bisexual pamoja na watu maarufu wengi wa ancient world)

Boss kweli naona logic kwenye argument yako.
Hii ya kutenganisha wanawake na wanaume imekaa kama magereza au jail hivi. Ndio maana na huko haya mambo yapo sana. Nasikia ukishaanza huachi.
Naona ni kibiologia sana na wanaume kutokuwa na uvumilivu kama wanawake. Mwanaume naona ni virahisi kutafuta sehemu ya ku-release.
Hapo kwenye Red sidhani kama ni justification enough. Lugha kuwa na maneno mengi pia sio msingi mzuri wa kubase analysis yako hasa ukilinganisha na kiswahili. Kiarabu ni lugha kongwe iliyokuwepo tangu enzi za ancient world ambapo kuwa bisexual ilikuwa ni okay to some extent (hata Alexandra the Great anaaminika kuwa alikuwa bisexual pamoja na watu maarufu wengi wa ancient world)
Mkuu Bosssasa huoni kuwa umejijibu mwenyewe hapo?
kwamba arabic culture ni culture ya zamani mno
na yapo mambo wamerithi toka enzi na enzi
wewe unasema lugha,mimi nasema pamoja na homosexual culture pia
sasa huoni kuwa umejijibu mwenyewe hapo?
kwamba arabic culture ni culture ya zamani mno
na yapo mambo wamerithi toka enzi na enzi
wewe unasema lugha,mimi nasema pamoja na homosexual culture pia
Mkuu Boss
Kwa maana hiyo ina maana kuna shida hapa kati ya waumini kutenganisha Uislam v/s arabic culture?
Mfano, inakuwaje kuna baadhi ya nchi za kiislamu ambapo wanawake wanaruhusiwa kwenda makaburini wakati wa mazishi?
Inakuwaje baadhi ya nchi hizo hizo watu henda msikitini kupiga swala bila kuvaa kanzu?
Wewe unasema kuwa wamerithi homosexual culture kwa kutumia ushahidi gani? Au ni kwa sababu ni culture kongwe na zamani kulikuwa na homosexuality kwa hiyo lazima na wao walirithi? Apart from that una ushahidi mwengine?
While my analysis shows the possibility of homosexuality culture to the Greeks, Romans, Persians, and others of the ancient world, we didn't infer that from your analysis. Did you mean to say homosexuality is accepted in Arabic culture as all those other ancient cultures or specifically to the Arabs?
gaijini unauliza na kujijibu mwenyewe....
nilichosema ni kuwa homosexuality ni part ya arab culture
sasa kama walirithi kama greeks au la hilo ni issue nyingine
fact hapa ni kuwa iko kwenye culture yao

vipi kuhusu shule za seminary!... mi nafikiri katika dini kuna logic fulani..!

ndio maana shule za semanary iwe za kikristu ama waislam.. hawa mix pamoja wanawake na wanaume... kama ikitokea basi wanawake watawekwa katika distance na wanaume! ...

i think it has something to do na iman ya kidini... pale mnapomix labda hamtokuwa serious na jambo/ issue au event husika.

it has nothing to do na gaysh!

Wewe unasema kuwa wamerithi homosexual culture kwa kutumia ushahidi gani? Au ni kwa sababu ni culture kongwe na zamani kulikuwa na homosexuality kwa hiyo lazima na wao walirithi? Apart from that una ushahidi mwengine?

While my analysis shows the possibility of homosexuality culture to the Greeks, Romans, Persians, and others of the ancient world, we didn't infer that from your analysis. Did you mean to say homosexuality is accepted in Arabic culture as all those other ancient cultures or specifically to the Arabs?

Mkuu Boss

Kwa maana hiyo ina maana kuna shida hapa kati ya waumini kutenganisha Uislam v/s arabic culture?

Mfano, inakuwaje kuna baadhi ya nchi za kiislamu ambapo wanawake wanaruhusiwa kwenda makaburini wakati wa mazishi?

Inakuwaje baadhi ya nchi hizo hizo watu henda msikitini kupiga swala bila kuvaa kanzu?

Well, sidhani kama ni dini but ni kukosa uvumilivu tu kwa wanaume.

Gaijin,
The Arab culture is almost as ancient as the Greeks, Persians, etc.

That I know.

Shida yangu ni kuwa Boss ameshindwa kutetea hoja......:]

Historically Sodom and Gomora was in modern day Syria/Palestina. So from way way back, Homosexuality ilikuwepo kwenye hizo ancient cultures.

Lakini tunachojadili ni kwenye culture ya sasa hali ikoje?