Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 119
■ Kiasi cha gawio kilichoidhinishwa ni TZS 70 kwa kila hisa.
■ Jumla ya fedha zitakazolipwa kama gawio ni TZS 4.3 bilioni.
■ Hii ni sawa na 40% ya faida halisi ya NICOL kwa mwaka 2024.
✅ Ratiba ya gawio ni kama ifuatavyo:
》 Biashara ya hisa zitakazohesabiwa kwenye gawio (cum-dividend): Kuanzia 1 Septemba 2024 hadi 19 Septemba 2025
》 Biashara ya hisa bila gawio (ex-dividend): Kuanzia 22 Septemba 2025 —hisa zitakazonunuliwa baada ya hii tarehe hazitahesabika kwenye gawio la mwaka huu.
》 Kufungwa kwa daftari la wanahisa: 24 Septemba 2025.
》 Malipo ya gawio: Kuanzia 30 Septemba 2025.
Kama ni mwekezaji mpya wa NICOL na hujajaza form au unataka ku-update taarifa hakikisha unajaza Form.
Je wewe ni mmoja ya wanaopata gawio?