pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
- Thread starter
-
- #41
Kaunti ni kata. Mipaka yake ni ile ile ya wilaya za zamani. Ila mikoa[PC], ambayo ilikuwa minane na wilaya[DC] zilitupiliwa mbali. Sasa ni kaunti/kata ambazo zinasimamiwa na magavana, ambao wanachaguliwa moja moja na wanainchi kwenye uchaguzi mkuu.Nadhani kaunti nikama wilaya au mkoa..!!!
Kaunti ni kata, zilikuwa ndio zile wilaya zamani. Mikoa ambayo ilikuwa mikubwa sana haipo tena.Nadhani kaunti nikama wilaya au mkoa..!!!
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuKaunti ni kata, zilikuwa ndio zile wilaya zamani. Mikoa ambayo ilikuwa mikubwa sana haipo tena.
Mmh!Kaunti ni Kata? Kama ni Kata kama ilivyo Tanzania utakuwa unaokosea. Hapa tu Tz tuna zaidi ya Kata mia nane!!Kaunti ni kata, zilikuwa ndio zile wilaya zamani. Mikoa ambayo ilikuwa mikubwa sana haipo tena.
ahsante sana mkuu kwa kunijuza. Hapo kwenye bold, uswahiba wao umeunganishwa na nini? mana huyu mwanasiasa na mwingine mwanamuziki, tena nchi tofauti!Kaunti zote za Kenya ni 047 zimepewa nambari ikianza na pwani kuja bara. Mombasa ndio kaunti 001. Kwa Joho, anaitwa Sultani swahiba yake Ali Kiba.
County kwa kiswahili ni kata. Hizo kaunti ndio zilikuwa wilaya zamani. Wilaya zilikuwa na division kadhaa sasa hivi hizo division zinaitwa sub-counties. Kaunti ni 47.Mmh!Kaunti ni Kata? Kama ni Kata kama ilivyo Tanzania utakuwa unaokosea. Hapa tu Tz tuna zaidi ya Kata mia nane!!
Kama unamaanisha Tarafa sawa.
Is it Division au sub division?
Hata mimi huwa najuiliza sana, ila urafiki unakuwaga hivyo. Hadi Ali Kiba akamuimbia Sultani wimbo wa kampeni. Joho Tena.ahsante sana mkuu kwa kunijuza. Hapo kwenye bold, uswahiba wao umeunganishwa na nini? mana huyu mwanasiasa na mwingine mwanamuziki, tena nchi tofauti!
Joho ni smart and opportunist sana kama nature ya wanasiasa wote anajua nguvu aliyonayo alikiba pale Mombasa kwa hivyo akaona namna nyepesi ya kujihakikishia ushindi ni kumuwin Ali kiba maana ana big fan base pale pwani as diamond yuko celebrated zaidi Kenya ya bara na sio pwani.Hata mimi huwa najuiliza sana, ila urafiki unakuwaga hivyo. Hadi Ali Kiba akamuimbia Sultani wimbo wa kampeni. Joho Tena.
Nimeishi kule Malindi kwa muda mrefu. Kilifi kumetuliaa, kuzuri sana. Watu wakarimu sana, kama Bongo vile. Kaunti nyingine hiyo. Kwa gavana Salim Mvurya.Joho ni smart and opportunist sana kama nature ya wanasiasa wote anajua nguvu aliyonayo alikiba pale Mombasa kwa hivyo akaona namna nyepesi ya kujihakikishia ushindi ni kumuwin Ali kiba maana ana big fan base pale pwani as diamond yuko celebrated zaidi Kenya ya bara na sio pwani.
Baadae wamejikuta wana brothers bond hadi Leo as joho anaonekana pia he is humble and kind which nourishes their friendship.
Niliwahi kuishi kilifi pale pwani ya
You know what, nakubaliana na wewe kuwa County ni Kata, ila tunatofautiana katika matumizi ya haya maneno: huku Tz Kata ni eneo dogo sana, kwa Kiingereza tunaita Ward (Location au Subdivision kwa Kenya), then inafuata Tarafa (Division), District (Wilaya) and Region (Mkoa, ambapo huko Kenya mnaita/mliita Province), ndiyo maana Watz hawakuelewi. Ungesema County ni sawa na Mkoa kwa TZ wangekuelewa sababu Mkoa una District kadhaa na maeneo bunge mengi zaidi...County kwa kiswahili ni kata. Hizo kaunti ndio zilikuwa wilaya zamani. Wilaya zilikuwa na division kadhaa sasa hivi hizo division zinaitwa sub-counties. Kaunti ni 47.
Nashukuru sana kwa kuniongezea kujua mambo!Joho ni smart and opportunist sana kama nature ya wanasiasa wote anajua nguvu aliyonayo alikiba pale Mombasa kwa hivyo akaona namna nyepesi ya kujihakikishia ushindi ni kumuwin Ali kiba maana ana big fan base pale pwani as diamond yuko celebrated zaidi Kenya ya bara na sio pwani.
Baadae wamejikuta wana brothers bond hadi Leo as joho anaonekana pia he is humble and kind which nourishes their friendship.
Niliwahi kuishi kilifi pale pwani ya Mombasa that's why. Slim5
Nimekuelewa mkuu. Mikoa ambayo ilikuwa minane ni mikubwa sana. Wilaya ndio kaunti. Kaunti ni 47 na ilifata ile mipaka ya zamani ya wilaya. Ile mikoa ya zamani yote ina kaunti kadhaa ndani yake. Kila kaunti ina maeneo bunge kadhaa ndani yake, kulingana na size yake, tano, sita. Nayo maeneo bunge yana ward kadhaa ambayo Tz yanaitwa kata. Nadhani tumeelewana sasa.You know what, nakubaliana na wewe kuwa County ni Kata, ila tunatofautiana katika matumizi ya haya maneno: huku Tz Kata ni eneo dogo sana, kwa Kiingereza tunaita Ward (Location au Subdivision kwa Kenya), then inafuata Tarafa (Division), District (Wilaya) and Region (Mkoa, ambapo huko Kenya mnaita/mliita Province), ndiyo maana Watz hawakuelewi. Ungesema County ni sawa na Mkoa kwa TZ wangekuelewa sababu Mkoa una District kadhaa na maeneo bunge mengi zaidi
Yap, hapo umedadavua vizuri sana, nadhani sasa ukiongelea County Watz watakuelewa...Nimekuelewa mkuu. Mikoa ambayo ilikuwa minane ni mikubwa sana. Wilaya ndio kaunti. Kaunti ni 47 na ilifata ile mipaka ya zamani ya wilaya. Ile mikoa ya zamani yote ina kaunti kadhaa ndani yake. Kila kaunti ina maeneo bunge kadhaa ndani yake, kulingana na size yake, tano, sita. Nayo maeneo bunge yana ward kadhaa ambayo Tz yanaitwa kata. Nadhani tumeelewana sasa.