Gavana Matata

I admire Sonko because he is not pretending, anaishi kama yeye na siyo ku-fake maisha ya mtu mwingine...
Haha hii style yake ya siasa iliwatikisa sana wanasiasa koko. Wachanganuzi wa maswala ya kisiasa waliongea sana. Alipofika bungeni kwa mara ya kwanza hata waheshimiwa wenzake hawakuwa wanataka kumuona. Kazi yao kusoma tu ripoti, mara sijui kamati wakati hawaelewi mahitaji ya wachuuzi, wauza samaki na mama mboga kule mashinani.
 
Gavana wa Nairobi kwa sasa, Mike Gideon Mbuvi au ukipenda Sonko. Enzi zilee...juzi juzi tu alipokuwa Mbunge kisha akawa Seneta. 🙂
Ila siku hizi anajaribu sana 'kutokelezea' kama magavana wenzake. 😀😀

Kenyan born and bred?!, hehe, huyu kweli matata.
Pengine anajaribu kuwa karibu na vijana.
Lakini powa kuwa Gavana wa capital city of E.A 🙂

Sipati picha tuwe na mmoja kama huyu, wallah atachapwa vibao kwenye umati wa watu na Lais..
 
WoW!, Nice!
 
Hahaha! 😀 Kenyan born. Vijana na kina mama ndio walimuingiza bungeni, alipowania ubunge wa Makadara, Nairobi kwa mara ya kwana. Hamna wa kumchapa vibao wala nini. Wanajua kura alizo nazo. Siunawajua tu wanasiasa. Wanataka wote wawe karibu naye ili angalau wapate kipisi cha umaarufu wake. 😀
 
WoW!, Nice!
Unaeza amini kwamba gavana aliyekuwepo, ambaye walikuwa wanabishania kiti hicho na Sonko. Alipiga marufuku huduma za ambulance na magari ya Sonko Rescue Team? Eti alisema sio halali kwasababu kupeana huduma hizo inafaa iwe kazi ya serikali yake ya kaunti ya Nairobi. Wakati yeye hakuwa anashughulika kupeana huduma zenyewe. Ikawa mwisho wa huduma hiyo. Hivyo tu. Waafrika hatujipendi.
 
Good for him!, that's a score!
 
Kha!, kweli hatujipendi. Amefanya vizuri sana kuonekana na kujiweka karibu na watu.

And that's what most of us want. Mtu anaejali or at least kuonyesha kujali.
Viongozi wenye akili watajifunza kutoka kwale.
 
Kumbe yuko njema nlikuwa na mchukulia poa
 
Yea ndo maana watu wa kipato cha chini walimpigia kura awe gavana wakati wengi walisema hana hadhi ya kukalia kiti hicho. Tena kwa kura nyingi zaidi ambazo zimewahi pigiwa mtu yeyote ule kando na kiti cha urais. 850,000+ zote zake kwenye kaunti moja tu. Ingekuwa ni kwenye mchuano wa urais angekuwa ameshika nafasi ya tatu baada ya Raila.
 
Kumbe yuko njema nlikuwa na mchukulia poa
Anajaribu ila sasa hivi kawa gavana na anapingwa sana na wale ambao wamekuwa wakijiita wenye jiji tangu zamani. Yaani matajiri wale, mabepari.
 
Mimi naona huu ugavana utamlemea. Yeye anapenda mahala ambapo atatolea stress zake. Time will tell. Bling sio ishu ila sasa ndio wakati wake mwafaka wakuwajibika.
Sonko hajaanza leo kutupia pamba za hivyo...so ugavana hautamshinda. Nakumbuka mwaka ule wa 2014 ndio alikuwa anashine balaa

Halafu ana kiburi vile anaelewana sana na Mkulu....Kenyatta.
 
Sonko hajaanza leo kutupia pamba za hivyo...so ugavana hautamshinda. Nakumbuka mwaka ule wa 2014 ndio alikuwa anashine balaa

Halafu ana kiburi vile anaelewana sana na Mkulu....Kenyatta.
Hahaha picha zenyewe hapo kadhaa ni za zamani. Ana visanga Sonko. Kuna siku alipiga ukuta ngumi hadi akaumia, 😀 wakati akiongoza maandamano kwenye eneo lake la ubunge. Kupinga kubomolewa kwa sehemu ya soko.
 
Nadhani kaunti nikama wilaya au mkoa..!!!
 
Hahaha picha zenyewe hapo kadhaa ni za zamani. Ana visanga Sonko. Kuna siku alipiga ukuta ngumi hadi akaumia, 😀 wakati akiongoza maandamano kwenye eneo lake la ubunge. Kupinga kubomolewa kwa sehemu ya soko.
Mshkaji yupo vizuri sana kiukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…