pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
[emoji15][emoji15][emoji15] Sawa tu ile ya kuhujumiwa au?sawa tu
Hapo alikuwa anaongoza maandamano. Akaamua aje kama jah pipo. Hadi akarukia juu kwenye lango la ofisi za waziri wa fedha. Eti ndio awafungulie lango waandamanaji wenzake! [emoji38]Kumbe mjomba sonko nae jaa pipo?
🙂Hapo alikuwa anaongoza maandamano. Akaamua aje kama jah pipo. Hadi akarukia juu kwenye lango la ofisi za waziri wa fedha. Eti ndio awafungulie lango waandamanaji wenzake! [emoji38]
Wallahi, hizo sio bange kama unavodhania. 😀
Gavana wa Nairobi kwa sasa, Mike Gideon Mbuvi au ukipenda Sonko. Enzi zilee...juzi juzi tu alipokuwa Mbunge kisha akawa Seneta. 🙂 Ila siku hizi anajaribu sana 'kutokelezea' kama magavana wenzake. 😀😀
Anajaribu kutema hayo mabling yake ili aonekane kwamba kweli yeye sasa ni gavana lakini bling zimekataa! [emoji38]🙂😉😀 Sonko mzee wa bling bling...
😀😀😀 Waswahili wanasema 'jasiri haachi asili', ila yupo vizuri...Anajaribu kutema hayo mabling yake ili aonekane kwamba kweli yeye sasa ni gavana lakini bling zimekataa! [emoji38]
Mimi naona huu ugavana utamlemea. Yeye anapenda mahala ambapo atatolea stress zake. Time will tell. Bling sio ishu ila sasa ndio wakati wake mwafaka wakuwajibika.😀😀😀 Waswahili wanasema 'jasiri haachi asili', ila yupo vizuri...
You think so, na vipi nilisikia anataka ku-resign au alikuwa anatishia?...Mimi naona huu ugavana utamlemea. Yeye anapenda mahala ambapo atatolea stress zake. Time will tell. Bling sio ishu ila sasa ndio wakati wake mwafaka wakuwajibika.
Makamu wake huyo. Alishajiuzulu bana. Alisema sonko hakuwa anamuamini.You think so, na vipi nilisikia anataka ku-resign au alikuwa anatishia?...
Sonko alipata kura zaidi ya 880,000 wakati alipogombea useneta wa kaunti ya jiji la Nairobi. Yaani ingekuwa ni kwenye uchaguzi wa urais angekuwa yeye ndio ameshika nambari ya tatu baada ya Uhuru na Raila. Hapo alikuwa tayari kawaacha nyuma wagombea urais karibia saba, wakati wao kura zao ni za nchi nzima na zake ni za Nairobi tu. 🙂 Hapana cheza buana! Wewe jiulize kwanini alikubalika kwa kiasi hicho. Kufanya kwa vitendo, sio blah blah za wauza sura.Bangi mbaya sana!!
Mbunge anawakilisha eneo bunge. Seneta anawakilisha kaunti, maeneo bunge kadhaa kama tano sita hivi ndio huwa yanakuwa kaunti moja. Seneta anaiwakilisha serikali ya kaunti yake kwenye bunge la seneti. Mbunge yupo bungeni kama mwanasheria chini ya serikali kuu. Maseneta ni 47 tu pamoja na wengine kadhaa wa kuteuliwa.Mimi mjinga kidogo naomba nieleweshe tofauti katia ya Mbunge na Seneta ni ipi?
Anaelewa. Huyu jamaa wakimgusa Nairobi kutaungua. Kupitia sera zake, vijana na kina mama wamefaidika sana. Mikopo ya kuanzisha biashara wamepata, stalls za kisasa za kufanyia biashara zao, kulipiwa karo za watoto kwa wasiojiweza. Miradi kadhaa ya kuinua vikundi vya vijana wa kipato cha chini. Jamaa kuna wakati alikuwa na Sonko Rescue Team, zilikuwa ambulance na magari ya kusafirisha watu bure wakati wa msiba. Isitoshe mara kibao amkuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano kupinga thulma dhidi ya wanainchi. Kuna siku amesimamisha shughuli ya bomoa bomoa ya nyumba za watu kwa kumpigia rais simu kisha akaeka loudspeaker. 🙂 Anajielewa zaidi ya wengi.Kikubwa kama anajua anacho kifanya.