Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa na hutumika kama kitunguu kingine kwa ajili ya kupikia,massage, scrubbing, steaming nk
100% kitunguu swaumu
Jumla 3500 kuanzia PC 20, na rejareja 5000
Napatikana dar, Ubungo, mikoani natuma
Whatsapp 0714547830
Kujichua,massage how, hebu tujuzane kidogo.
hiyo pack haita poteza ubora wake?
Duuuh bora useme kuchua mwili sio kujichua dada hilo lina ukakasi hahaaaKujichua,
Pack haiwezi
sory naweza jifunza kitu kwenye hilo? faid za kuchua na swaumu n.kKujichua,
Pack haiwezi
Hunyoosha misuli, pia ni nzuri sana kutumiwa na wale waliopooza,unamchua ile sehem yote iliyopoozasory naweza jifunza kitu kwenye hilo? faid za kuchua na swaumu n.k