Utaingia cha kike mkuu,gari nyingi za uingereza hazina spare bongo inaweza ikawa the same brand na ya japan but kuna baadhi ya vifaa haviingiliani
Hii si kweli kabisa na sijaona. Nimeshatuma magari mengi sana ya kijapani toka UK na hakuna tatizo kama hili..mkuu. Magari ya UK ni poa sana, imara na Mileage zake mara nyingi ni za ukweli. Na UK kama limesema ni 2007 ni kweli hakuna uchakachuaji. Chukua mchuma huo
hutajilaumu. Kwa kuongezea hizi Suzuki
zinatengenezwa Japana na kusafirishwa UK.[/QUOTEh]hiyo ni kweli kabisa soko la japan limeingiliwa na wahuni ambao wanachakachua sana magari..baadaye wanatangaza $2500 sisi tuona tumepata..ni wachache hawachanganyichanganyi...wao ni mafundi wa kubadilisha auto iwe manual nk,japani kuna sehemu nyingi wanaposaga magari wahuni wanakwenda kule wananunua kabda halijasangwa anaweka kapeti jipya..na rangi mpya..kisha sokoni ila uhuni huu hauwezifanyika UK
ahsante kwa ushauri lucky sabasaba!vipi kaka weweza kuwa unafahamu japo kwa maksio yaweza kunigharimu kiasi gani hadi naiweka barabarani!sina uzoefu wa kuagiza magari na mambo ya ushiri (japo wa bongo haueleweki kama ulivyosema) na je hakuna namna ya kuukwepa hata kwa kupita mlango wa nyuma,maana naona ndo umekuwa utaratibu!!!nchi yetu bado ushuru haueleweki vizuri hiyo gari ya 2007 ni model mpya kabisa sasa tra wanawezaku uplift sana CIF ikawa juu
wakuu kwa wajuzi wa magari nataka kuvuta haka kamkoko toka uingereza, kanasifa hizi:
bei paund 4990
2007 (56 reg), 4x4
- 99,000 miles
- Manual
- 1.9L
- Diesel
je niandae shilingi ngapi hadi kukaweka barabarani?
nini tofauti ya kununua gari uingereza na zile za japan?
natanguliza shukrani!
sasa Mfikilwa!!haya magari yako ya ebay mbona yananipa maamuzi magumu!!ni mazuri lkn mbona hizo system za bei sijazielewa! mara bid mara buy now!which is which!mnada na mimi niko Pandagichiza nitauweza!!Grand Vitara imetulia haswa, ukiangalia kwa ebay unaweza pata<rahisi zaidi ya hapo
Japo haina uchakavu..ukipata agent mzuri unapashwa uandae 8.5ml..maana tra wataweka cif ya juu maana ni 2007 model(bongo ni jipya sana hilo)