wakuu salama?
kila nikitembelea wauzaji wa magari used, nakutana na magar ambayo si rahisi kuyaona mtaani kama ilivyo ya toyota, lkn unakuta yana bei nzuri kuliko hayo ya toyota.
nimevutiwa na Voxwagen, za bei nzuri chini ya usd 1800-2500.
mengine ni ya BMW ingawa mengi cc zake majanga.
Je, kwa hizo za voxwagen, zina uzuri gani na ubaya gani kwa aspects za sparepart, mafuta na ufundi kwa sie wa sitimbi?