Hii ipo wapi? Kuna mtu anauza gari humu jf unamuuliza gari ipo wapi anakwambia dar anakutajia mpaka location, ukimtafuta story za gari ipo arusha cjui morogoro znaanza