Gari ya rav 4 inatafutwa

Gari ya rav 4 inatafutwa

Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2007
Posts
425
Reaction score
36
Gari aina ya RAV 4 inatafutwa iwe haijafanyiwa matengenezo makubwa, imelipiwa kodi na inatembea.
 
Boney E.M embu badili kichwa cha bandiko. '' Gari ya rav 4 inatafutwa'' inaleta maana tofauti kabisa na hitaji lako.

1. Nahitaji kununua Gari aina ya Toyota Rav 4

2. Gari aina ya RaV 4 inahitajika

3.etc

Thanks
 
Toa namba ya cm tukurushie picha na useme upo wapi
 

Attachments

  • 1425042837182.jpg
    1425042837182.jpg
    66.5 KB · Views: 178
ipo GDI very comfortable car.nauza mil 6.5 ukihitaji ni pm
 
Back
Top Bottom