Mnyandughu
Senior Member
- May 31, 2013
- 133
- 46
unataka baby walker mkuu?
uko mkoa upi huku bara?
nani kakwambia hata used hiki ni milion tatu labda mtu akupe kibovuuuKana kulaje mafuta haka .
Kana kulaje mafuta haka .
Zipo mkuu... balloon na hata gx 100.. sema uwe na hela ya kuirekebisha kidogo
Naweza kununua wapi kigari ka bei hio kanaovumilia road zetu bara.
collora old model ipo,usajili B iko vizuri sana .